Kutoka mtaji wa elfu 20 hadi kumiliki mabasi

Kutoka mtaji wa elfu 20 hadi kumiliki mabasi

  • Chochote kile kilichopo hapa duniani, mwanzo wake huwa ni 0.​
  • Ata wewe, ulianza na 0 lakini kwa sasa unamiliki nyumba, gari n.k​
  • Kwa hiyo ni lugha tu inayotumika, ingawa humo ndani kunakuwa na sarakasi nyingi mpaka kufanikiwa.​
 
Mbonaa elfu 20 n nyingi sana mkuu super feo

...mm nilipata wazo tu la kuanza kilimo Cha mboga mboga nikaenda Kwa jiran kuomba jembe nikaingia shambani kuanda shamba baada ya shamba kumaliza nikaenda Kwa jamaa wa kilimo nikakopa mbegu nikaja rusha ,mboga zikakubali ss n miaka nimekuwa bocc na mtaani wananiita TAJIRI MBOGA MBOGA ..

Kwan ujawah ona fuso uko daresalamu kwenu zimeandikwa TAJIRI MBOGA MBOGA 🤪🤪🤪
 
Mbona ni kawaida sana. We ulitaka kuambie alianza biashara na milion mia? Wabongo sijui tumelishwa nini. Ni sawa kusema nilizaliwa nikiwa na kilo tatu na sasa nina kilo 150, hapo pia utabisha. Tujiamin bana kila kitu kinawezeknaa kwa aaminie. We dhamiria nakupa miaka mitano tu unakuwa tajiri ni simpo sana mkuu.
 
Mwanzo; Katikati na Mwisho..... Mwanzo unaweza ukawa huo ila katikati pakawa tofauti na pagumu kwa wengi kufanya yaani sio realistic wala adaptable....

Mfano unaweza ukatumia elfu ishirini kumnunulia mwanamke mwenye pesa kinywaji akapatwa na furaha akakupa guarantee na kukuwekea dhamana benki....

Au kama Trump alidanganya kwenye Forbes Net Worth yake akatumie hio article kama dhamana ya kupata mikopo bank
 
Yuko sahihi.. Hata sasa kuna watu wanafanya bussiness na mtaji mdogo zaidi ya huo na wanaishi.. Vipi je kwa kipindi alianza yeye ilikua kubwa kiasi gani?
 
Utajiri ungekuwa unaanza kuutafuta leo na unapata kesho basi ndo historia ingekamilika, kuwa tajiri na unakumbuka ulianza na sh ngapi ni uongo kwasababu, mpaka uje kusimama kwenye hiyo biashara yako inayokufanya uwe tajiri ni wazi ushafeli mara kadhaa kwenye hiyohiyo biashara au nyingine,
 
Back
Top Bottom