Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kuna kuhaso na kuna nyuma ya pazia. Kuna ndumba na magendoHaukumsikia Dokita Musukuma alivyojieleza kuhusu utajiri wake.Mabonitauni wanasema "amehaso" sana.
Hamna anaekwambia Siri ya utajiri wakeUtajiri ni siri ya mtu, hakuna anaesema ukweli kwenye hilo.
Matajiri wengi wamepiga sana dili haramu.
Hata wewe hutosema, hutoliweka wazi.Hamna anaekwambia Siri ya utajiri wake