hawana vyeo? au ni viongozi wa maandamano?Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi