PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Twendeni siku ya kesi,pia Kila mwenye kuchukia mabaya ya Mapolice Ccm tutembee na kitu ambacho police akikukamata nae anapata mazala. Kama Kuna kitu ukimwagia usoni macho yanapogfoka basi tutembee navyo siku hiyo
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Do Mungu awaponye araka ,mungu yupo kazini
 
Jiulize hii yote kwa nini , yapo majitu yanaenda kufa midomo wazi ,hata wale wakitakicho hawatakiona asema Bwana
 
Twendeni siku ya kesi,pia Kila mwenye kuchukia mabaya ya Mapolice Ccm tutembee na kitu ambacho police akikukamata nae anapata mazala. Kama Kuna kitu ukimwagia usoni macho yanapogfoka basi tutembee navyo siku hiyo
Wewe ni wa h0vy0......

Acha kuwasababishia wenzako ulemavu....mkienda mtandikwe na kuvunjwa mig0ng0.....
 
.

.... basi wewe hushiriki actively....kinyume chake ,una ulemavu gani ?!!
Mzee acha kukaza fuvu..tumekuwepo na tutaendelea kuwepo.
Pumzika kwa Amani.Unahangaika nini?
Mbona shobo nyingi kama unakalia kijiti?Unafikiri wote tupo kama wewe?
Pumzisha akili yako itulie unahaha nini?
 
Sawa keyboard warrior....
 
Akili mali....

Chadema ikishinda na kutawala utakula vin0n0 ukiwa RC.... wakati mm naendelea kulima mboga mboga,sawa ee?!!

Kizingiti ni kuulinda mg0ng0 wak0 usvunjwe wkt huu kwani mamwera wanag0nga haswaaa.....
It seems we are not full humans. Kutofautiana kisiasa ni kawaida kutofautiana kimtazamo.

Hizo mbegu zinazopandwa ni hatua ya kutufanya kuwa binadamu kamili😁 ila safari ndefu hii, Yani kukuleta wewe kwenye rationality na kukutoa kutoka umbweha wa kumuwinda mwafrika mwenzako umnywe damu na kukufanya kuwa binadamu kamili!!!!😁🤣🤣
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Excessive Force where it's not Necessarily
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Hilo ndo jeshi la kamanda mulilo, ni uhuni uliopitiliza
 
Back
Top Bottom