PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shida kubwa ya Hawa watu ni njaa! Hawa ni kama wale mbwa ambao walionekana hawana maana Kwa bwana wao, Sasa wamepewa
Sijawai kua na tatizo na mama Samia Ila for this amekaa kimya.
Hata kifo sikiogopi najua nitakufa siku moja..
What happened kwa watu timamu hatuungi MKONO.
 
Wakitoka hapo watadai wametumia nguvu za kadri. Kuna mambo yanataka busara, idadi ya watu ambao polisi inaweza wasambaratisha kirahisi kwanini wakavunjane mifupa na kusababisha umauti usio na lazima.

Halafu CDM JF, sauti ya watanganyika na Maria space, embu acheni kuwa-over hype viongozi wa CDM. Lissu hana msimumuo wa demagogue kushawishi kuingiza watu barabarani.

Ni Lema tu at his peak kipindi cha JK ndio aliwahi kuwa na nguvu hiyo Arusha mjini, leo hata yeye sidhani kama bado ana ushawishi uleule Arusha.

Achaneni na hizi fantasy za kulazimisha vitu ambavyo hamna strategy navyo, hakuna demagogue anaetaka kuingiza watu barabarani kwenye mkutano wake ana muda wa kuongea hadithi za sijui za tume ya jaji Nyalali alisema nini huo muda wa kusikiliza historia binadamu wanautoa wapi.

Mtapelekea watu wachache waumie wakati hiyo strategy inataka watu wengi walio tayari kweli kuumia na wa Tanzania hawako huko bado.

Huko Ukraine au Romania polisi ilikuwa wakipiga bunduki jamaa kesho wako tena; mpaka polisi wenyewe wanasema kuuwa jamani inatosha wapeni wananchi wanachotaka.

Wanasikiaga basi, hakuna kitu kibaya kama kujiongopea kwa kujiaminisha kitu ambacho hakipo, ni sawa na Mandonga kujiaminisha anaweza vumilia makonde ya ‘Oleksandr Usyk’ apewe ulingo.

Unnecessary loss of life, R.I.P kiumbe uliepoteza maisha leo katika harakati żako za kupigania mabadiliko.
 
epuka kubebwa ufala kifikra, utaumia au kupoteza maisha kilofa sana gentleman na kusababisha fedheha na mateso kwa familia, ndugu na jamaa zako 🐒
🤣🤣🤣 Mbegu isipooza haiwezi kukua. The human is human's wolf
 
Acha vitokee ndio mbegu inaoza hivyo ili ikue, visipotokea mbegu haitakuwa.😁
sasa gentleman,
mbona ulitoka nduki? ilifaa wewe ndie uwe uwe mbegu bora zaidi ya kuumizwa au kupoteza maisha kilofa, nadhani ingepeza zaidi, ama?🐒
 
niwakumbushe watanzania kipindi hiki kuelekea uchaguzi kujali familia zao na wapendwa wanaowazunguka kwa kufuata na kutii maagizo ya vyombo vya usalama,kipindi hiki unapaswa kuwa na nidhamu ya hali ya juu ikibidi geuka kuwa mamba ikiwa wewe ni kenge kwanyae msafara wa mamba

muwe na njozi njema
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Niwaambie kitu CHADEMA? Kubalini liwe na liwalo, hapo na nyie kwa vile UVCCM wanashangilia hayo maumivu mnayopata, anzeni operation bado mmoja!
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Halafu wewe kila siku uko uvunguni, lini utakuwa mstari wa mbele?
 
Samia hata kampeni hazijaanza uneshamwaga damu za Watanganyika hivi kufikia uchaguzi utakuwa umeua Watanganyika wangapi? Ewe Mwenyezi Mungu tuamulie huu ugomvi kama ulivyofanya tarehe 12 March 2021.
 
Back
Top Bottom