PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Asee hatuna polisi tuna majitu makatili tupu, bora ya majambazi asee yana huruma lakini siyo hawa polisi
 
Ilo bichwa umejaza ujinga TU na unajipovusha kujifanya ( KAJIFUNGIE CHUMBANI NA WANAO NDIPO USIKOSOLEWE HII NI PUBLIC FORUM)

WEWE NI 阓道
Angalia ukitongozwa usimkubalie kila mtu utapata uja uzito gono tayari unalo...
 
Back
Top Bottom