Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Ali Ubeda alivunjwa y0te kwa ajili ya CUF.... leo ni mlemavu miaka mingi Tandika....
Wafungulie kesi huko mahamaka ya kimataifaHii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Walishindwa CUF...Wafungulie kesi huko mahamaka ya kimataifa
CUF ni CUF na sasa ni sasaWalishindwa CUF...
Dunia hii.....
L00SER huyo....Nikiuwawa utapata faida gani...
Jidanganye....CUF ni CUF na sasa ni sasa
na wote hao ni platform ya chadema kugain public sympathy lakini ni mzigo kwa familia za wahusika, ambao maskini ya Mungu huenda waliaga makwao kwamba wanaenda makazini kutafuta chochote kitu, kumbe wanaelekea kuleta fujo zilizoandaliwa na chadema kisutu,Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
It is a sign of fall....periodHii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Wakistafu watakuja kuandika vitabu eti wanajuta kwa Makosa waliyofanya wakiwa madarakaniNothing last forever... Siku moja Watu watasahau kabisa kama kulikuwa na CCM...
Mbayuwayu ha0....na wote hao ni platform ya chadema kugain public sympathy lakini ni mzigo kwa familia za wahusika, ambao maskini ya Mungu huenda waliaga makwao kwamba wanaenda makazini kutafuta chochote kitu, kumbe wanaelekea kuleta fujo zilizoandaliwa na chadema kisutu,
polisi iliwaonya wakakaidi, haya sasa,
asie skia la mkuu huvunjika guu,
akili za kuambiwa changanya na zako 🐒
Watu wanaishi kwa leo tu...JMT ndio muhimu zaidi kwani ni ya milele....Wakistafu watakuja kuandika vitabu eti wanajuta kwa Makosa waliyofanya wakiwa madarakani
Jidanganye.....It is a sign of fall....period
saa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzaniana wote hao ni platform ya chadema kugain public sympathy lakini ni mzigo kwa familia za wahusika, ambao maskini ya Mungu huenda waliaga makwao kwamba wanaenda makazini kutafuta chochote kitu, kumbe wanaelekea kuleta fujo zilizoandaliwa na chadema kisutu,
polisi iliwaonya wakakaidi, haya sasa,
asie skia la mkuu huvunjika guu,
akili za kuambiwa changanya na zako 🐒
Tandika kabisa watie akili.Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Mungu atafanya kituHii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Naona mnakula raha kwa leo tu.Watu wanaishi kwa leo tu...JMT ndio muhimu zaidi kwani ni ya milele....
AMKAAA
....vunjaaaaaTandika kabisa watie akili.
Anayeleta vurugu atatandikwa sana.Ulete vurugu uchekewesaa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzania