imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Piga kabisa.Hao wanaotaka kuleta vurugu....vunjaaaaa
Safi sana, hakuna aliyevunjwa mguu? We vp hujaenda au ulifanikiwa kutoroka? Bàdo zamu yako bloodfuckinHii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Kesho iko wapi ?!!Naona mnakula raha kwa leo tu.
wapi walileta vurugu, ccm munakuwa waoga hadi watoto wa shule wanawashangaa mlivyo majiziAnayeleta vurugu atatandikwa sana.Ulete vurugu uchekewe
Wameshashulikiwa.Wanataka kuleta vurugu.Piga kabisaHawa kenge Kuna siku nao watashughulikiwa tu!!!
Tandika mig0ng0 ya0.....Piga kabisa.Hao wanaotaka kuleta vurugu
Jitokeze na wewe ufanye vurugu.wapi walileta vurugu, ccm munakuwa waoga hadi watoto wa shule wanawashangaa mlivyo majizi
Ni kushughulikiwa tu....Wameshashulikiwa.Wanataka kuleta vurugu.Piga kabisa
Safi.kabisaTandika mig0ng0 ya0.....
Sawa braza Mkunazi NjiwaKesho iko wapi ?!!
Unaijua ?!!
Kesho yenyewe ni UHAI endelevu wa JMT....kesh0 ni d0la tu.....
maskini dah,saa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzania
Na bado, mtoto akililia wembe mpe, Pemba waĺiluawa wangapi mwaka au ulikuwa mtoto? Mwulize Hamad Rashid mwenyekiti wa ADC ambaye anajutia kushiriki ktk ule upuuzi wakati akiwa CUF. Na kuuawa mtauawa, nyumbu wana faida ganiAibu Kubwa Sana Kuvunja Watu Miguu
Mahakama Zipo Mmeshindwaje Kuwapeleka
Mnajichukulia Sheria Mkononi Kweli
Hawezi....Jitokeze na wewe ufanye vurugu.
Kuna tengenezwa hofu ya nini? mbona nchi inaonekana iko salama au tuu.Yanayofanywa ni matumizi mabaya ya nguvu ya dolaHii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Tandika kabisa.Watie akiliWengi ni Wasalamau wa Dakwata tena kutoka Zanzibar .
Mazeri anaupilia mwigine sana .
Kisasi ni takwa la asili la kuleta usawa na kuwaadhibu waovu.
Hakuna hata kakiota kamoja ka nyasi za kinjano kamewashwa moto mpaka kesho kutwa .
Bila kisasi hawataacha na CCM itajifucha nyuma ya wauaji kuelekeza wa kuua .
Kila siku oooh, tuawashitaki kwa majina yao halafu hatuoni hata RPC mmoja akiburuzwa mahakamani na jopo la mawakili wasomi .
Unapotoa amri isiyo halali na ukapelekea kifo cha Watu au ulemavu kwa ni ni hatuna chama na watetezi wa haki za binadamu wakimshitaki aliyeongoza huo unyama na kupoteza maisha ya watu akishitakiwa na kudaiwa alipe fidia ya Wahanga na familia zao.?
Katiba ipo wazi hao wanaoivunja bado wanaogopwa na kubaki kama mashujaa matokeo yake ni kunufaika na Utawala dhalimu .
Mulilo hakuwepo kwanye maandamano hawezi kushitakiwa . Lakini kuna aliyekuwepo na kutoa amri isiyo zingatia katiba na sheria za nchi wala sheria za Kimataifa.
Kwa nini Watamzania waliopo nje ya nchi hayuwaoni wakiandamana kwenda kwenda kwenye balozi za Tanzania na hata UN kupinga mauaji na mateso ya wamasiasa badala yake wanasema tu mitandaoni?
Aibu? Subiri maiti ukazike wapumbavu wapungueAibu Kubwa Sana Kuvunja Watu Miguu
Mahakama Zipo Mmeshindwaje Kuwapeleka
Mnajichukulia Sheria Mkononi Kweli
Safi sana.Tandika kabisa watie akiliHii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Tafuta hela mdogo wangu tualikane vikao vya CIROC.... hao akina B0ni ni wajisiriamali wa *miguu ya wenzao.....Sawa braza Mkunazi Njiwa