PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inafikirisha Sana mtu mwenye utashi kufanya mambo ya kinyama ( hao ni polisi au kikundi Cha wahuni)

Inashangaza Sana poor Tanzania ni kukosa uzalendo wa kiwango Cha SGR ...

HAO MAASKARI NI WAVUTA BANGI/ WALEVI FROM FOUR FAILURE

FROM NO WHERE HUWEZI ANZA MUMSHAMBULIA RAIA ASIYE HATA NA MANATI NA KUMVUNJA MIKONO MIGUU NIJAMBO LAKUKEMEWA KWA KILA MLITAKIA MEMA TAIFA LETU.

#REVENGE IZ INEVITABLE.

Wengi ni Wasalamau wa Dakwata tena kutoka Zanzibar .

Mazeri anaupilia mwigine sana .

Kisasi ni takwa la asili la kuleta usawa na kuwaadhibu waovu.

Hakuna hata kakiota kamoja ka nyasi za kinjano kamewashwa moto mpaka kesho kutwa .
Bila kisasi hawataacha na CCM itajifucha nyuma ya wauaji kuelekeza wa kuua .

Kila siku oooh, tuawashitaki kwa majina yao halafu hatuoni hata RPC mmoja akiburuzwa mahakamani na jopo la mawakili wasomi .

Unapotoa amri isiyo halali na ukapelekea kifo cha Watu au ulemavu kwa ni ni hatuna chama na watetezi wa haki za binadamu wakimshitaki aliyeongoza huo unyama na kupoteza maisha ya watu akishitakiwa na kudaiwa alipe fidia ya Wahanga na familia zao.?

Katiba ipo wazi hao wanaoivunja bado wanaogopwa na kubaki kama mashujaa matokeo yake ni kunufaika na Utawala dhalimu .

Mulilo hakuwepo kwanye maandamano hawezi kushitakiwa . Lakini kuna aliyekuwepo na kutoa amri isiyo zingatia katiba na sheria za nchi wala sheria za Kimataifa.

Kwa nini Watamzania waliopo nje ya nchi hayuwaoni wakiandamana kwenda kwenda kwenye balozi za Tanzania na hata UN kupinga mauaji na mateso ya wamasiasa badala yake wanasema tu mitandaoni?
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
naogopa hata kumvunja miguu panzi sembuse binadamu mtanzania mwenzangu kweli, safari hii tutasimama katikati ya uzima na mauti Mungu atusaidie ccm ife
 
Tafuteni kazi za kufanya ili muache ujinga wa siasa ...Mnapenda vurugu halafu mnataka huruma ,wekeni pesa mnazolipana.
 
Kesi ikipangwa tena hakuna mtu atapeleka pumbu zake kisutu

Acha kushabikia haya mambo, Haki isipopatikana leo inaweza kupatikana kesho, usijidanganye na hii nguvu ya dola na mabunduki, walikuwepo watu wenye hii nguvu siku raia walipoamua kusema NO mambo yaliharibika.
Yuko wapi Hosni Mubarrak pale Misri, yuko wapi Al-Assad pale Syria, yuko wapi Mobutu nk.

Tunapaswa kukemea huu ujinga na kuishauri watu watumie akili kwenye kutatua matatizo sio miguvu na kuumiza watu.

Kulikuwa na ulazima gani wa kuumiza watu na kuleta taharuka isiyo na maana?
 
Inafikirisha Sana mtu mwenye utashi kufanya mambo ya kinyama ( hao ni polisi au kikundi Cha wahuni)

Inashangaza Sana poor Tanzania ni kukosa uzalendo wa kiwango Cha SGR ...

HAO MAASKARI NI WAVUTA BANGI/ WALEVI FROM FOUR FAILURE

FROM NO WHERE HUWEZI ANZA MUMSHAMBULIA RAIA ASIYE HATA NA MANATI NA KUMVUNJA MIKONO MIGUU NIJAMBO LAKUKEMEWA KWA KILA MLITAKIA MEMA TAIFA LETU.

#REVENGE IZ INEVITABLE.
The hague inawahusu wote waliohusika kwa uhalifu dhidi ya raia
 
Acha kushabikia haya mambo, Haki isipopatikana leo inaweza kupatikana kesho, usijidanganye na hii nguvu ya dola na mabunduki, walikuwepo watu wenye hii nguvu siku raia walipoamua kusema NO mambo yaliharibika.
Yuko wapi Hosni Mubarrak pale Misri, yuko wapi Al-Assad pale Syria, yuko wapi Mobutu nk.

Tunapaswa kukemea huu ujinga na kuishauri watu watumie akili kwenye kutatua matatizo sio miguvu na kuumiza watu.

Kulikuwa na ulazima gani wa kuumiza watu na kuleta taharuka isiyo na maana?
Huyu pimbi hawezi kukuelewa hata!
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
MaCCM yameanza kutoa kafara za uchaguzi. Kila mwaka haya matoto ya mbwa lazima yatie kafara tu.
 
Hivi Jeshi la Polisi siku kadhaa kabla ya kesi ingeita viongozi wa CDM kwa mazungumzo na kujadili namna Bora ya CDM kuwepo mahakamani ingeleta shida gani?

Naamini viongozi wa CDM ni waungwana wangepewa utaratibu wangeufuata, na dialogue ingewekwa live Kila mtu aone, njia zipi za kupita labda hata idadi ya watu nk?

Then vyombo vya habari vinakuwa live.

Kwanini CDM walisema wanaandamana kwenda Ikulu, wao shida yao ilikuwa kuwepo mahakamani.
 
Huu mtindo wa sasa ni.unakamatwa halafu hupelekwi kituoni ni kuvunja miguu/mikono juu kwa juu na kutelekezwa barabarani.

Nikikumbuka enzi mnampamba ile March-April 2021.
 
Back
Top Bottom