PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbayuwayu ha0....
inafedhehesha sana na kwakweli inasikitisha sana gentleman,

watu wenye akili timamu na pengine wenye familia zao kabisa nyumbani kubebwa ufala kifikra na kwenda kutumbukia kwenye ulemavu wa kudumu au hata kupoteza maisha kizembe kabisa yaani šŸ’
 
maskini dah,
jamaa ni walemavu wakujitakia na wanaweza kuongeza idadi ya waTegemezi nchini.

Familia husika zinakwenda kubeba mzigo mzito wa fedheha wasioyoistahili, huku chadema kwa unafiki mkubwa wakihadaa familia za majeruhi kwamba hao ni mashujaa, dah,

inasikitisha sana inafedhehesha sana šŸ’
saa100 ni dikiteta muuaji mwaga damu za watanzania mama katili asiye nahuruma
 
maskini dah,
jamaa ni walemavu wakujitakia na wanaweza kuongeza idadi ya waTegemezi nchini.

Familia husika zinakwenda kubeba mzigo mzito wa fedheha wasioyoistahili, huku chadema kwa unafiki mkubwa wakihadaa familia za majeruhi kwamba hao ni mashujaa, dah,

inasikitisha sana inafedhehesha sana šŸ’
Mazebe haswaaa....
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Safi sana awanaakili wange tulia makwao
 
Aibu Kubwa Sana Kuvunja Watu Miguu
Mahakama Zipo Mmeshindwaje Kuwapeleka
Mnajichukulia Sheria Mkononi Kweli
Hawana cha kuwashtaki nacho. Wanajishikia Sheria mkononi.

Hata mahakama haina cha kusema juu ya wasikilizaji wa Kesi Mahakamani.
 
Wameshashulikiwa.Wanataka kuleta vurugu.Piga kabisa
KLMYK!!!Wapi CDM wameleta vurugu qma wewe!Yaani kwenda mahakamani kusikiliza kesi ni kileta vurugu???Nyie machoko wa ccm mnaona hii nchi mali yenu qma nyie!!!
 
Back
Top Bottom