Mwanjigwene
Member
- Mar 1, 2021
- 62
- 45
Kesi ikipangwa tena hakuna mtu atapeleka pumbu zake kisutu
Kesi ikipangwa tena hakuna
Kwa comment yako tu nimejua kichwani hamna kitu.sasa wakuu vipi bado mtaandamana kuzuia uchaguzi?
Kesi ikipangwa tena hakuna mtu atapeleka pumbu zake kisutu
Kesi ikipangwa tena hakuna
Kwa comment yako tu nimejua kichwani hamna kitu.sasa wakuu vipi bado mtaandamana kuzuia uchaguzi?
"Homo homini lupus" "The human is the humans' wolf". Thomas Hobbes....vunjaaaaa
Umemtaja keyboard warrior MWANDAMIZI ha ha ha haNakuapia hata ungalikuwepo ungekuwa keyboard warrior kama Erythrocyte
Jino kwa jino...!Rais mwanamk...😕
Mbegu lazima iozee kwanza ndio izae. Mbegu ya damu💪💪maskini dah,
jamaa ni walemavu wakujitakia na wanaweza kuongeza idadi ya waTegemezi nchini.
Familia husika zinakwenda kubeba mzigo mzito wa fedheha wasioyoistahili, huku chadema kwa unafiki mkubwa wakihadaa familia za majeruhi kwamba hao ni mashujaa, dah,
inasikitisha sana inafedhehesha sana 🐒
Duuh. Duniani kupata haki ni jambo gumu
Umekariri....mb0na wewe umesimama.... umeacha wenzak0 wakavunjwe ya0?!!"Homo homini lupus" "The human is the humans' wolf". Thomas Hobbes
Kauli hii inathibitika kwako
Anza wewe....Suala la watu kujitoa mhanga sasa, liko mbioni ili kukomboa wananchi
Si unafurahia watu wa chadema kuvunjwa mikono , miguu, uti wa mgongo na wengine kupoteza Maisha kwa vipigo instant.Nikiuwawa utapata faida gani...
CCM will last foreverNothing last forever... Siku moja Watu watasahau kabisa kama kulikuwa na CCM...