PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sijaelewa maana au sababu ya raia kunyimwa kuhudhuria kesi.

Hii nchi uhuru upo ila ni wa Kulala ty nyumbani kwaako.
 
Si unafurahia watu wa chadema kuvunjwa mikono , miguu, uti wa mgongo na wengine kupoteza Maisha kwa vipigo instant.

Note.
For years tumekua tunavumiliana waislamu,wakristo, Simba na yanga, chadema na CCM. Kitendo Cha kuwapiga watu sikiungi mkono hata kidogo.
Kama unawadhihaki polisi ili wakupige kumfurahisha mariah sarungi unataka mimi niungane na wapuuzi lissu angetangaza sera zake badala ya chuki wengi tungemuunga mkono lakini kwa matamanio ya kushika madaraka kupitia damu za watu huo ujinga no wacha wapigwe tu....
 
Vunjaaaaa mig0ng0 kabisaaaa....
 
Hao watu mngewahamishia private,
Hii Gavoo haiaminiki,kama mkuu yuko kimya mpaka sasa hivi inamaana amebariki vitendo hivyo
 
Mungu hutoa adhabu na malipizi kwa wakati wake.
Na wao ipo siku watakufa,Mungu atajibu
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Kuna mambo yanayofanyika hapa kwetu yanafikirisha sana. Kama kuna watu wanayaona jinsi yanavyofanyika, na hawana muda wa kufikiria jinsi yanavyofanyika, then kuna tatizo kubwa. Msemo huu wa Leroy Eldridge Cleaver (1935-1998), writer and political activist, makes a lot of sense kwangu: "If you're not part of the solution, you are part of the problem"
 
Utawala ndio umefikia hapa kama enzi za,makaburu wa kusini mwa Africa?🤔
 
Back
Top Bottom