PreGE2025 Kutoka Mwananyamala Hospitali: Viongozi wa Chadema Waliovunjwa Miguu hawa hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Wanamdangamya huyu mtu, hatafika popote. Lissu si Mbowe.

We count days!!
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
CHADEMA mnagharimia matibabu yao? Tuanzie hapo
 
Kama kufuatilia kesi tu watu wanavunjwa na kuuliwa huo uchaguzi itakuwaje!?
Usiwasikilize sana chadema, Wana drama balaa hao na wapenda sifa na , kama inavyofahamika lengo lao kuu ni kumharibia Samia kwakuwa hawampendi. Siajabu kikundi Chao Cha utekaji, kama alivyowahi kukiri na kuweka wazi Dr Slaa, ndiyo kimetenda hayo mambo Ili mradi tu kuichafua serikali.
 
Mbegu lazima iozee kwanza ndio izae. Mbegu ya damu💪💪
epuka kubebwa ufala kifikra, utaumia au kupoteza maisha kilofa sana gentleman na kusababisha fedheha na mateso kwa familia, ndugu na jamaa zako 🐒
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Walihitaji siasa ngumu, ndio hizo
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Mbona hao ni wachache? Mimi nilitarajia wawe wengi zaidi ya hao.
 
Poleni sana viongozi

Watoto wa Lema na Lissu wako ulaya wanaishi vizuri na springs zai

Jiulizeni why Lema haguswi?
 
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini

View attachment 3314193

Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Halafu viongozi wa chadema ndio hao walio hospitali ?

Kweli?

Au hao ni wanachama tu?
 
Huu ndiyo mwaka wa CCM kupigwa chini, wananchi tuchangamke kwa maandamano......CCM lazima ishikishwe adabu tu.
 
Back
Top Bottom