hawana vyeo? au ni viongozi wa maandamano?Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Mkuu, wewe hukwenda? Au ulikacha kama ulivyokacha maandamano 🤔Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Tajiri huyo.....haandamani yy....Mkuu, wewe hukwenda? Au ulikacha kama ulivyokacha maandamano 🤔
(Wewe ulikacha maandamano)
Ha ha haNa virungu vya polisi,au!?
Akili mali....Wewe human's wolf 😁
Hakuna namna mambo haya yatokee. Tunasubiri tu matunda mazuri yatokee kutoka mbegu niliyopanda.😜
A human's wolf
Bila ya shetani hakuna dini.... nyumba za ibada , wala s0k0 huria.....acha uzwazwaWe ni shetani wa Taifa . Tunakwamishwa na mataahira kama wewe
Si mlisema mtakinukisha!Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Usiwe na wasiwasi nchi iko salama na tamasha lijalo la Kizimkazi nitaku0mba tukale w0te bata... CIROC kama z0teeee.....Duuh yajayo yanatisha km sio kuogopesha
😢😢😢😢😢
Watauawa wengiKama kufuatilia kesi tu watu wanavunjwa na kuuliwa huo uchaguzi itakuwaje!?
SubiriSi mlisema mtakinukisha!
Mkaambiwa manuka nyinyi.
Unachukua volume tu dunianiBila ya shetani hakuna dini.... nyumba za ibada , wala s0k0 huria.....acha uzwazwa
Ha ha ha ha TAJIRI ....Subiri
....na mazuri NAY0...unauguza guu ,k0n0 ama mg0ng0 ?!!Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
....itii d0la ni takatifu...Watauawa wengi
Ndo kauli zenu za kishujaa wabongo, na huwa zinaishia huku huku mitandaoniNothing last forever... Siku moja Watu watasahau kabisa kama kulikuwa na CCM...
Keyboard warriors...Kamanda mkuu ni mwandishi wa thread ha ha ha haNdo kauli zenu za kishujaa wabongo, na huwa zinaishia huku huku mitandaoni
🚮🚮🚮
Si uweke na picha zao tuone sura zao wakiwa na hayo ma POP cast au antena au majeraha ya ORIF?Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini