Wata.... wata....... sijaona ukisema nita......Wataenda wengine.Haiko rahisi hivyo na ndio maana inatumika nguvu kubwa kuvunja watu miguu.
Mwisho wa siku watatibika na hata watakao kufa hakuna shida...hayo hayajaanza leo.
Wachaa wee.Usiwe na wasiwasi nchi iko salama na tamasha lijalo la Kizimkazi nitaku0mba tukale w0te bata... CIROC kama z0teeee.....
Mbona unateseka sana Mkuu ,relax fanya unachoweza.Wata.... wata....... sijaona ukisema nita......
Hakuna mwenye anakaza fuvu.Sawa keyboard warrior....
Wacha nifanye utafiti...Chakushangaza Kila mtu kavunjika mguu wa kuliaπ ajabu hii mkuu
Eti bhanaKama kufuatilia kesi tu watu wanavunjwa na kuuliwa huo uchaguzi itakuwaje!?
Hivi msitu wa Pande na Mabwepande kuna tofauti?Mtu mwenyewe mshamba, mnuka shida, makasiriko, chuki, ubinafsi na mahangaiko tupu.
ππππHivi msitu wa Pande na Mabwepande kuna tofauti?
Ninavyofahamu msitu wa Mabwepande uko wilaya ya Kinondoni karibu na Mpiji, Bunju, Mbopo wakati Pande ni kijiji kilichoko Zinga wilaya ya Bagamoyo ukiwa unaelekea chuo cha uvuvi Mbegani.
Hawa makada wa CDM walitupwa eneo lipi kati haya?
Walipotesewa ni kwenye nyumba za NSSF zilizojengwa kwenye mkondo wa bahari zikatelekezwa pale Ununio mkabala na mikoko au barabarani kwenye shamba la chumvi?
Nchi imefikia pabaya sana na askari wanaotumika kutesa Watanzania wenzao kisa wana itikadi tofauti!?
Kimsingi hakuna raia anayekubaliana, viongozi wa kidini na kiroho hawakubaliani na mwenendo wa utawala hata baadhi ya askari hawakubaliani ila wanatii kuepuka kuuwawa na wenyewe.
Hii nchi ni ya Watanzania wote haijalishi ni nani atakuja kuiongoza, Marekani inadumu kuwa na nguvu na kuonesha namna ya uvumilivu. Trump D, amenyanyaswa sana na utawala wa Bidden lakini alipoingia madarakani hajalipiza kisasi chochote zaidi ya kufanya mabadiliko ya kimfumo. Tanzania inachochea raia wake yenyewe kuwa na chuki dhidi ya chama kinachotawala na huenda visasi vikamea kuelekea uchaguzi ujao. Upungufu urekebishwe na waliotenda matendo haya yasiyofaa wawajibishwe ipasavyo kuliko kuwa na kiburi cha madaraka ambayo sio ya milele.
Je mama au chama chetu kiliridhia kuvinja watu wa miguu?Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
View attachment 3314193
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Kama hatukatwi miguu na vibaraka wa Mama, tutapelekana mbaliMlivyo waoga hivyo hakuna kitu kitatokea