Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Wewe rahisi sana kuibiwa historia yake amekua beki 3 na bar maid Tegeta hiyo seal labda ufafanue ya wapi
Kwani kuwa beki tatu ni laana..mbona yule dada alikuwa beki tatu akawa mtangazaji ,sasa ana media company kaolewa na watoto nA yule kiongozi wa chadema kanda ya dar
Acheni dharau jamani..
Hivi mnajuwa kuna wanawake kama...sophia simba ..hawafichi kusema walishaawahi kuwa bar maid wa..kuuza pombe za kienyeji,dar na moro kabala ya kujiendeleza kuwa.secretary na baadaye wakarudi darasani kusoma hadi..kuwa manasheria ,diwani,waziri na kiongozi wa wanawake

Unayedharau beki tatu na bar maid ushawahi kuuliza mama yako alipitia kazi..zipi..kabla..ya kuolewa?
 
mpumbavu wew embu tuwekee picha yako tukuone wew ulivyoumbika ukimaliza tuwekee picha ya dada zako , shangazi, na demu wako au men wako tuone walivyo wazuri isikute una sura kama kiatu hapo alafu unaita wenzako wabaya idiots
 


usiwe na akili za kijinga we mpiga chabo/punyeto.....kwani Ben Pol si ni mwanamme kama wewe? Sasa ulitaka atoke na nani, Ebitoke ni msichana mzuri tu tena anaonekana anajiamini kuliko hao unaowataka wewe watoke na Ben Pol. Visichana vingi hapa Bongo ni full vituko na havina mpango, wao ni kuchezewa tu. Hakuna demu msanii au hata changudoa wa kucheza video (video queen) anayestahili kutoka na Ben. Kaza buti Ben, furahisha moyo wako na huyo Ebitoke ndiye nyota yako.
 
Boss mjiini mipango,we utaoana ni ushamba lakini kila mmoja moyoni mwake anajua anatafuta nini.Unaweza kuta Ben Pol amefuata kitu Sealed.Nani ambaye hapendi kuwa wa kwanza kuzindua?
 
Acha kukashifu wenzio kuwa ni wabovu.....ni Mungu alivyoomuumba....ina maana ww unambeza Mungu....hujafa hujaumbika ndugu yang....temea mate chini!
 
You are right

Wanasema kuna wanawake wa aina mbili.

1. Wenye ashiki za karibu
2.wenye ashii za mbali au kutafuta


Mara nyingi wanawake wazuri sana au wanaojiona..wazuri wana ashiki za karibu ..wapo ambao hawawezi kulala bila kuona..mwanaume au mwaanaume akimkaribia hamu inakuja mapema.

Hawa ukikutana naye enyoy naye lakini sii..wa kuoa kwakuwa hataweza kukuvumilia hasa..kama ni mwanaume mtafutaji ambaye unaweza kupotea hata mwezi.
Ukitaka kumuoa huyu lazima...uwe na.na muda naye na.ukitoka jua lazima...usaidwe hata na.house boy au..dereva
Ndio maana...watu hushangaa sana wanawake wazuri sana lakni hawaolewi zaidi labda...atazaa nao..pia hawapendi..kuolewa

Kundi la wanawake wenye shiki za mbali hawa.sio wengi ...na ni..wagumu sana..kuwapata ,na hata ukimpata hana makuu.,sio macho juuu ...kufanya naye mapenzi..hata kama ni mkeo..lazima...kumuandaa na pia wanaridhika mapema...
Kwa mwanaume ambaye hajaoa ukibahatika kupata mwanamke wa...aina..hii..muoe haraka...maana huwa...wanatafutwa ..
Hasa kama ni muhangaikaji una.uhakika wa...msaidizi mwema
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ndo nini kutuvunja mbavu eti mana
Aah...huyu kijana amekuja kuwa wa hovyo sana...Mara avae sketi, Mara aonyeshe Kimbweta....anyway.....hayanihusu sana hayo
 
Hivi unaposema `swaga` unamaanisha nini? Hembu nisidie kwenye hili kwanza ndo nichangie mada.
 
Na hivi ndivi ilivyoanzia
Wacha tu kiki ziendeleee
 
Acha wivu kila mtu ana haki ya kupenda na kupendwa
 
Mm nimependa alivyoamua beny...lkn mwenyekutaka maisha yakisanii yahovyohovyo ndie anaempinga..eti kupata dem mkali!!wann?? Sifa nimtu anaejielewa..sio dem mkali while brain zero...cant creat future..ever
 
Wabongo bana,Wewe una uhakika gani kwamba wana uhusiano wa kimapenzi?.Au ninyi ndo wale mkiona watu jinsia tofauti wanatembea wakishikana mikono,basi mnasema ni wapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…