Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Duuh mkuu umeongeza Single Mama duniani? Acha hizo basi mwenzako muokoe mbona kumtomba umwmpa mimba? Maana yake unampenda. Kumbuka anakuwa na presha kuwa na mimba huku hajaoleea. Jaribu kuangalia pia ujiweke kwenye viatu vyake.
Usije kukosa mke mwema kwa sababu ndogo ndogo tu.
 
Awe na kiu ya ndoa, umri umeenda halafu ni singo maza ndio kabisa anazidi kuchanganyikiwa

Soko lao ni gumu sana hawa wa aina hii

Wanatombesha sana. Ni kama anabet anajisemea moyoni nikipata jinga jinga la kunioa nitashukuru mkeka utakuwa umetik
Bora hata Single Mother, kidogo hana pressure sana sababu tayari ana mtoto. Kutana na hicho kitu umri umeenda na hana mtoto. Ni kivuruge
 
Nilizani ni mimi tu mzee kitombile nakumbana na hizi hadha za wadada kutaka kuwaoa, kila siku utasikia jamani kito utanitambulisha lini mbona siku zinaenda naona kimya, mara mama angu anataka kuongea na wewe, kama shida ni mahali badi nipo tayari kukuchangia ili mradi unione, mara mimi wazazi hawana shida ni wewe tu.... Mambo ni mengi mda ni mchache tuendelee kuchakata mbususu ili tusisumbue wajukuu zetu uzeeni.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yanafikirisha haya mambo
 
Hii kitu hatari mnoo
 
Kabisa mkuu. Nilishawahi kutana na pisi ya namna hiyo. Nimemzidi kama miaka saba hivi kiumri. Sasa wakati kanaanza chuo, mimi nilikua nimeshamaliza kama miaka miwili nyuma na tayari nipo kazini.

Kakanivutia nikakatongoza kakasema hakapo tayari kua katika mahusiano wakati ule. Kumbe kuna classmate wake alikua anadate nae pale chuoni. Wakashawishiana wakatoka hostel wakaenda kupanga mtaani na kuanza maisha. Uzuri namba zake sikiwahi kufuta. Akawa full time anapost status na kumpost chalii na makopa kopa.

To cut the story short kipindi cha miaka mitatu alichokua chuoni alishatoa mimba za yule msela mbili. Chuo wamemaliza mwaka juzi na kila mmoja karudi kwa wazazi na mapenzi yakaishia hapo.

Jamaa kavuta pisi nyingine kaizalisha. Binti presha ya kuolewa imemjaa, na hivi hana kazi anaunga unga tu. Naona ameanza kunichatisha anataka niingie mkenge nimuoe. Baharia namzoom tu!
 
Kula nyabe hiyo ya bure alafu pita kushoto kama huna taarifa nayo.
 
Soma machangizo yangu mengine utaelewa kwanini nina mashaka na huo ujauzito ingawa ninamlea akiwa huko huko mbali nami.
 
Wanawake wa siku hizi hawajui kumvutia mwanaume wa matendo yake,wengi wanaamini uzuri ndio kila kitu.

Wengi wanapenda hela na kusahau utu, wengi hawana nidhamu ya hela wanayopewa,wengi hawajui kuitunza hata hela wanayopewa na wengi wana bond zisizo vunjika na maex wao ambao hawa kuwapa thamani.

Mvutie mwanaume kwa matendo yako,ubinadamu na utu na kwa kuwa atleast na hofu ya Mungu na siku zote ukitaka kujua tabia ya mwanamke yoyote unayetaka kumuoa, husimbane sana mpe uhuru utakuonyesha tabia zake zote tena ndani ya kipindi kifupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…