Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Nachukua Notes...[emoji3578][emoji3578]
 
Mimi anachonikera tukiwa kitandani tunasex muda wa kupumzika kutafuta round inayofuata ndio anaanza "utanioa lini?" "Lini utakuja kujitambulisha kwetu?"

Huwa ananikata stimu sana huyu manzi age yake 33 ana wasiwasi sana umri sio rafiki
Akikuuliza "utaniona lini?" broo we mwambie mwezi ujao, alaf endelea kupiga pumbu.
Akikuuliza tena "utakuja kujitambulisha lini?" mwambie huohuo mwezi ujao, alaf we endelea kupiga pumbu.
Mwezi ujao ukifika akiuuliza "vipi siulisema mwezi huu?" mwambie mishe zimefeli bhana mwezi ujao tena, alaf we endelea kupiga pumbu tuu
 
Wanawake wa hivi baadaye wanakuja kuwa na majuto sana
 
Yaani anakuona wa maana hivi sasa, baada ya msela kuachana nae au mkuu ulike-eep intouch nae huyu manzi hadi ndio maana sasa anamani awe na wewe?
 
Anakwambia anamika 24 lakini mgodi una miaka 70 duu
 
Mpige miti kisha uingie mitini, ndo dawa ya videmu vinavyokataa wanaume.
 
Daah!! Mambo ni mengi mnoo mno sana bora niifurahie siku zangu za kuona jua/nuru

Unaoa mke kumbe unaoa kamati ya mapokezi.
 
Kwahiyo unataka watumikeee alafu waolewe na nani? au unawatumia ambao wamesha kubuu
 
....Mbaya zaidi unakuta alishatumika balaa, speedmeter inasoma kilometa za kutosha.
Kwa hili wanawake mbadilike mjue tu ukiweka presha kubwa ya kupata kitu ndio unakikosa kabisa.
Bora hao wanawake wanatumika balaa kuliko wanaume.
Mwanaume anatumika kiasi kwamba akifika huko ndoani anatema.mate kama mlevi badala ya kuwa mpto mkavu
 
Mimi anachonikera tukiwa kitandani tunasex muda wa kupumzika kutafuta round inayofuata ndio anaanza "utanioa lini?" "Lini utakuja kujitambulisha kwetu?"

Huwa ananikata stimu sana huyu manzi age yake 33 ana wasiwasi sana umri sio rafiki
Hapo jiandaee kujibu kesi kil mudaaa...!! Hatarii sanaa yani Age 25+ ukidate nae Maswali ya Ndoa ni kila sikuui kila mudaa...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Inakera na kuuma,pale ambapo msela amemchakata miaka mitatu mizima,wakistarehe,halafu wewe anakuganda umchakate muda mfupi tu,eti umuoe,yaani hata bond inakua haijatengenezwa vizuri kati yenu,ukilinganisha na bond iliyotengenezwa kati yake na mumewe wa chuo,waliyeishi pamoja miaka mitatu wakizagamuana.Hapo kwakweli akifanikiwa kuolewa,lazima amsake ex wake wa chuo,wawe wanakumbushiakumbushia,tena akibahatika akiajiriwa,kipindi cha semina,lazima wawasiliane,wakanyanduane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…