Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Nikimkuta bikra au yupo below 23 naweza ungana na wewe huyo anajitambua ila kitu 26+ wahuni wamemtumia vya kutosha. Tuna mwezi mmoja tu au miwili toka tufahamiane ila kushinikiza nikajitambulishe kwao na kuhamasisha ndoa kila muda hapo jiandae kupigwa.Hao wanawake wako sahihi kwa 100%.
Mimi binafsi nasema hao ndio wanawake wanaojitambua. Mwanamke yoyote mwenye kujitambua ni lazima atauliza haya maswali mapema kabisa kwenye mahusiano.
1. Una mpango gani na yeye?
2. Je utamuoa?
3. Umepanga kumuoa lini?
4. Utakwenda lini kwao kujitambulisha?