Wewe haujielewi na usilazimishe kueleweka wakati hoja zako hazina mantiki. Wewe unaongelea as if mazingira tunayozungumzia ni mwanamke ulimkuta na bikra yake then ukakaa nae miaka 5 ndipo akuulize hayo maswali.
Hapa tunaongelea nimekutana na binti kwenye basi la mkoa, au dukani, au njiani, nikaomba namba ndio tumeanza kudate, hatuna hata miezi mitatu, tunaonana kwa yeye kuja for sleep over, au tunatoka out haishi na mimi.
Hajui napendelea nini, hajui nina ishi na mfumo gani wa maisha anakuja anaanza kunambia tu unanioa lini?
Hivi wewe kwa utimamu wa kawaida kuna vitu ambavyo sote hapo tunakuwa tunajua vinatokea, hana bikra , sijui alikuwa na nani na waliachana kwa sababu ipi, sijui ana matabia gani ya hovyo, hiyo ndoa gharama kuanzia posa hadi Honey moon ni mimi ndie nitawajibika, halafu baada ya hiyo ndoa mimi ndie nitakuwa provider wake wa kila kitu, plus ataniletea watoto ambao wataniongezea majukumu.
Sasa wewe unakuja hapa na hoja nyepesi as if its simple like that. Wewe acha kichaa wewe yaani unaongea as if mwanamke ndie anapoteza au kuweka maisha yake rehani wakati uhalisia ni mimi mwanaume najifungamanisha a mkataba mgumu kutoka.
Yaani mtoto wa kiume akijiwekea standards kuwa hataki kuoa mwanamke ambaye hayuko sawa kiakili, hana bikra, hana history ya kuliwa na mwanaume yoyote na umri haujaenda, huyu mtoto wa kiume anaonekana ni katili, ana roho mbaya, ana uonevu, ukatili wa kijinsia na anamshusha mwanamke ila mwanamke anapojiwekea standards kuwa anataka mwanaume mwenye pesa, kazi, sehemu nzuri ya kuishi, mrefu, mwili wa mazoezi, asiwe na watoto, atoke familia ya kishua, then huyu mwanamke anaonekana yupo sahihi, si ndio?
Acha ufala na kutetea Wanawake kwenye sehemu ambayo hawana haki wala stahiki ya kutetewa bana.