Mimi nilishakujibu tangu kitambo.
Ni sahihi na haki kabisa kwa binti aliyejipanga na kutamani kuolewa sasa kuhoji mapema kabisa malengo ya uhusiano unaotaka kuujenga naye. Asipofanya hivyo huyo binti atakuwa ni mjinga kabisa.
Wewe unataka aje ghetoni kwako, alale na wewe, atoke out na wewe, lakini hutaki kusikia ahoji ni lini utamuoa au lini utakuja kujitambulisha kwao. Sasa ulitaka ahoji nini?
Kama umesoma vizuri kule juu kwenye moja ya reply zangu utakuta nimesema sehemu kuwa mwanamke ambaye hana bikra kabla ya yote, hana haki wala mamlaka ya kumuamulia au kumharakisha mwanaume kuingia nae kwenye Ndoa.
Bikra ni sifa kuu ya kumshika mwanaume na hilo wanawake wameshajua kuwa ni kosa wamefanya kuitoa bikra katika mazingira ya kuchezewa na sio mazingira ya kindoa.
Sasa kuna watu kama wewe(Simps)wazee wa masalia a.k.a zoa zoa chochote huwa mnawadanganya hawa mabinti kuwa wanaume hatujali sana wanawake kutokuwa na bikra na hatunaga standards inapokuja swala la mahusiano tutazoa yoyote anayekuja mbele yetu jambo ambalo si kweli.
Wanaume tuna standards pia mwanamke anapokuja na hana bikra the only factor itamfanya kupata points za kuolewa ni kuprove kuwa anaweza kubehave exactly the same kama bikra au mwanamke ambaye ndio kwa mara ya kwanza anaanza mahusiano.
Yaani anatakiwa kuprove kuwa anaweza kukana past yake na kujikana yeye na kuishi kama binti ambaye ni pure hajawahi kuingiliwa kimwili na kuwa na mwanaume kabla ya huyu anayetaka amuoe.
Sasa hilo wadhani linaweza fanyika ndani ya wiki au mwezi?
Hivi unaamini unaweza jua tabia au flaws za mtu ndani mahusiano ya mwezi?
Na kwann binti anasubiria hadi ndoa ifungwe ndipo aanze kuonyesha umuhimu wake kwenye maisha ya mwanaume na huku muda unakwenda?
Kama hataki kukuoa it means hajaona mchango wako kwenye maisha yake. Kwann mwanamke asiwe serious kwa kuanza kuishi kama mke, aweke mipango na mwanaume huyo, wajenge maisha, biashara, na kuanza kujitoa moja kwa moja.
Yaani unijie kama jini hapa utake nikuoe na sijui anoa kitu gani?