Kuna vitu unachanganya hapa.
Suala la kujitunza linawahusu watu wote, mwanamke na mwanaume. Hivyo sio issue ya upande mmoja tu wa mwanamke.
Issue inayojadiliwa hapa ni kuhusu wanawake wanaohoji na kushinikiza mahusiano yao yabadilike kuelewa kuwa ndoa.
Kama umekutana na msichana, ukampenda na kuanzisha mahusiano, na katika mahusiano yenu ukagundua binti anawaza ndoa tu na wewe haujawa tayari kwa hilo kwa sasa, basi achana na huo uhusiano mara moja kwa kuwa malengo ya uhusiano wenu hayaoani na hupaswi kumlaumu kwa msimamo huo.
Ni sawa tu na wale wanaume waliojenga mahusiano (ya kutaka kuoa) na wanawake ambao wanawaza kutafuna pesa zao na sio kuelekea kuolewa, mwanaume ukigundua hilo ni vyema ukaachana na huyo mwanamke mara moja kwa sababu malengo yenu hayaoani.
"Kuna vitu unachanganya hapa.
Suala la kujitunza linawahusu watu wote, mwanamke na mwanaume. Hivyo sio issue ya upande mmoja tu wa mwanamke."
Nakuonea huruma kam jinsia yako ni ya kike.
Hii ni universal duniani,mwanamke mwenye high body counts anachance ndogo ya kupata ndoa.Ulaya kwenye mademu walio tumika na wanawake wenye elimu wana chance ndogo sana kuolewa na ndio maana US ndoa zimepungua kwa asilimia zaidi ya 50%,sababu mabinti wengi wanatumika sana,hawana nidhamu, 50/50.Sasa hivi kuna lundo la wanaume wa kizungu (Wanaitwa Passport Bros) wanakuja kuoa mabinti wa Kiafrica au Kiasia na wengi wa hao wazungu wakiulizwa wanakwambia wanataka mwanamke mwenye tabia nzuri na mwenye utii kwa mume.
Mwanaume hata awe malaya vipi,ila anapotaka kutulia na mke mmoja atataka binti bikra au mwenye low body counts na mwenye utii na tabia njema.
Mwanamke ndiye anayetakiwa kujitunza sababu mwenye maamuzi ya kuoa ni mwanaume, sasa husiletee sheria za 50/50 haki sawa, kwani mwanamke hachumbii.Duniani kote mwanaume ndiye anaye chumbia.
Hata ndoa za zamani za wazee wetu, kijana wa kiume anapo balehe hutafutiwa binti mwana mwali (bikra) au mwenye tabia nzuri na tena wazee wazamani walienda mbali zaidi,mpaka kuangali tabia za ukoo wao.
Vetting ni muhimu kwa binti utakaye muoa,either kwa kijana mwenyewe kujizihirisha kwa mwenendo wake wa kitabia au umkute na usichana wake.
Ndoa ni process na si kukurupuka sababu binti kasema na ndoa ni moja ya maamuzi magumu sana kwa mwanaume hasa kwa dunia ya sasa na ndio maana Vetting ni muhimu sana.