Huyu ni mwanaume wa nne wa kikenya kukumbwa na dhoruba na wanawake wa kizungu, wanawake wa kizungu au wazungu kwa ujumla vichwa vyao vina mushkeli sio kidogo, anaweza kuamka asubuhi akadai talaka na hujamkosea, anachukua mkwanja unaachwa hapo...kibaya zaidi wanapenda ndoa kuzitunza sasa !...ukiwa nae sahau kuwekeza Africa, maana anakuwa ana monitor account yako, ..siku yakikukuta sasa ndo kama hivi, huna chochote Africa!Kuoa Wazungu kumewapa maisha Waafrika wengi, faida ni nyingi zaidi ya hasara.
Hakika mkuu, kuna wanawake wanaweza wakasmell potential ya mtu mapema huko mbeleni.Wanawake wetu hawa ukishakuwa Huna mbele wala nyuma anakukimbia mbio nyingi haangalii potential, ukiwa Huna kitu huwaoni, wanawake wa kizungu wanajua kusoma potential ya mtu, hata kama huna pesa nyingi lakini kuna potential anaiona kwako basi utakuwa naye ili ukija kutoboa mgawane mbao vizuri....Halafu kiherehere cha yeye kwenda Kenya kimemponza, mkewe aliona kabisa Kenya hatutoboi kule, mifumo migumu.
Duuuuhhhh!! Kwamba uchawi unakuvuta from huko huko uliko?😂😂Africa si sehemu ya kurudi kichwakichwa, jamaa wa West Africa wanaamini jamaa wa kwenu wanaweza 'kukuvuta' ili urudi upigike muwe ngoma droo.
Maswali yako yanaleta tafakuri jadidiMaisha yana mambo mengi sana, navyozidi kukua nazidi kuepuka kuwa mtoa hukumu na kujaribu kuwa muelewa zaidi. Hatuwezi kujua mwamba alipitia nini katika maisha mpaka kuchukua hatua ya kurudi nyumbani, kikubwa tumuombee. Kuna facts mbalimbali mfano:
1: what if alikuwa anatuma pesa za kujiandaa kurudi nyumbani ndugu wakala hizo pesa,
2: What if alikumbana na changamoto za kazi hususan ubaguzi katika sekta ya Anga U.S akaona ajipange na kurudi tu nyumbani.
3: what if ialipewa ahadi ya potential ya kazi akirudi Kenya.
Ndugu zangu maisha ya mwanaume ni ya vita muda wote, wakati mwingine matarajio hayakidhi uhalisia. Mungu atupe nguvu ya kushinda mapambano yetu
Ada ilimshinda nauli angepata wapi?Jamaa ali under-estimate mambo. Na labda alifanya maamuzi kwa hisia zaidi.
Lakini, nashangaa baada ya kuona mambo yanakua magumu Kenya, alishindwaje kupiga U-Turn na kurudi Marekani haraka? Inasikitisha sana.
Faida zipi? Au makaratasi?Kuoa Wazungu kumewapa maisha Waafrika wengi, faida ni nyingi zaidi ya hasara.
Story ni ya huzuni sana ila kwa post yako imenibidi nicheke.Yaani akili yake iliishia kuokota makopo?nimeamini u rubani si elimu bali ni udereva anyone can be
Lakini system mbovu kivipi? Huyu jamaa na yeye naona ali miscalculate vitu vingi. Baadaya kuishi na kufanya kazi Marekani muda wote huo, dola 5000 ya kupata certification ya u pilot Kenya ilimshindaje?Afrika kuna uncertainty zinazo sababishwa na system mbovu. Ndio maana ni ngumu sana diaspora kurudi Afrika.
Nchi za wenzetu kama una ujuzi, Hata upoteze kila kitu, skill yako itakubeba.
Afrika unaweza kuwa na ujuzi lakini kutokana na system mbovu, utakwama.
Ndio maana Natafuta Ajira anazungumza sana humu ndani wanaume tujitengenezee maisha yetu wenyewe kwanza kabla ya ndoa na baada ya ndoa pia.Maisha yana mambo mengi sana, navyozidi kukua nazidi kuepuka kuwa mtoa hukumu na kujaribu kuwa muelewa zaidi. Hatuwezi kujua mwamba alipitia nini katika maisha mpaka kuchukua hatua ya kurudi nyumbani, kikubwa tumuombee. Kuna facts mbalimbali mfano:
1: what if alikuwa anatuma pesa za kujiandaa kurudi nyumbani ndugu wakala hizo pesa,
2: What if alikumbana na changamoto za kazi hususan ubaguzi katika sekta ya Anga U.S akaona ajipange na kurudi tu nyumbani.
3: what if ialipewa ahadi ya potential ya kazi akirudi Kenya.
Ndugu zangu maisha ya mwanaume ni ya vita muda wote, wakati mwingine matarajio hayakidhi uhalisia. Mungu atupe nguvu ya kushinda mapambano yetu
Wapo kimkakati sana. Wengi wao ila, sio wote.Huyu ni mkenya mwanaumewa nne kukumbwa na dhoruba na wanawake wa kizungu, wanawake wa kizungu au wazungu kwa ujumla vichwa vyao vina mushkeli sio kidogo, anaweza kuamka asubuhi akadai talaka na hujamkosea, anachukua mkwanja unaachwa hapo...kibaya zaidi wanapenda ndoa kuzitunza sasa !...ukiwa nae sahau kuwekeza Africa, maana anakuwa ana monitor account yako, ..siku yakikukuta sasa ndo kama hivi, huna chochote Africa!
Ukirudi ushenzini/ mavumbini lazima ujipange kwelikweli, uhakikishe una different revenue sources ya ukakika....yaan cash inflows isiyokuwa na shaka hata chembe!Africa si sehemu ya kurudi kichwakichwa, jamaa wa West Africa wanaamini jamaa wa kwenu wanaweza 'kukuvuta' ili urudi upigike muwe ngoma droo.
😅😅😅kuna vitu vinachekeshaStory ni ya huzuni sana ila kwa post yako imenibidi nicheke.
Actually ni wanawake wengi wana huu uwezo😀Hakika mkuu, kuna wanawake wanaweza wakasmell potential ya mtu mapema huko mbeleni.
Kiukweli mimi kanishangazaLakini system mbovu kivipi? Huyu jamaa na yeye naona ali miscalculate vitu vingi. Baadaya kuishi na kufanya kazi Marekani muda wote huo, dola 5000 ya kupata certification ya u pilot Kenya ilimshindaje?
Au ni afadhali basi angeendelea kuvunga kidogo huko USA huku akikusanya pesa kisiri siri kabla ya kufunga safari kurudi Kenya.
Kwa hiyo tumekubali kabisa kuwa huku Afrika ni USHENZINI? Daaaaahhh! Inafikirisha sana.Ukirudi ushenzini/ mavumbini lazima ujipange kwelikweli, uhakikishe una different revenue sources ya ukakika....yaan cash inflows isiyokuwa na shaka hata chembe!
Sasa angefanya nini?Yaani akili yake iliishia kuokota makopo?nimeamini u rubani si elimu bali ni udereva anyone can be
Unakujuwa vizuri Kenya? Kuna mzungu daktari alimfata mke wake mkenya, baada ya kukimbia na watoto wake, kaishia kuwa mlevi wa mataputapu, Hana kazi na mke kamkimbia!...maana yangu Kenya ni kugumu mno mno kiutafutaji, ndo maana wakija nje wanafanya kazi kama punda!...msoto wa Kenya sio poa!Yaani akili yake iliishia kuokota makopo?nimeamini u rubani si elimu bali ni udereva anyone can be
Kwahiyo upilot ni udereva tu anyone can be? Ha ha ha😅😅😅kuna vitu vinachekesha
Namshangaa sana...wenzake hapa wanapigika kishenzi, full kupelekeshwa na mwanamke wa kizungu ukimgusa tu hata na kidole unaozea jela!Hapana Aisee!!!
Ukioa Mzungu kubali uwe mtumwa labda ndiyo itakuwa salama yako.