Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

Ahsante mkuu kwa swali hili japo sio mchumi Ila naweza kujibu tu kutumia akili za kawaida,

Katika hili Wala sio serikali inakwama Bali Kuna kikundi Cha watu wachahe na tuliowapa dhamana ya nchi na kuwaamini lakini wamejimilikisha wenyewe na familia zao.
Leo hii huwezi kuniambia hata Kama huna utaalamu wa kuchimba madini yako mwenyewe ndio uingie mkataba mibovu inayotuumiza na kuchia Mali zote kuondoka na sisi kubakiwa na mashimo tu, Hebu fikiria Leo bado tunaambiwa hakuna mtanzania anaeweza kuwekeza kwenye secta ya madini maana ni gharama huu ni uongo mkubwa, mzee Mengi tu mwenyewe alikuwa na uwezo Ila basi tu Tanzania hii hakuna wa kuikomboa ni mpaka sisi wenyewe siku moja tuamue ndipo tutapata Uhuru kamili wa nchi hii.

Japo Kuna watanzania wachache waliamua kutoa maisha yao kuisema kweli na mwisho wa Siku watanzania wenyewe tunaishia kuwakatisha tamaa nao Kama binadamu wengine wanachoka na kuamua kuunga juhudi ili nae ale na Familia yake😭😭😭 Mungu alitupa Tanzania nzuri Ila sie wenyewe tumeshindwa kujitambua.

Fikiria leo wanaombeza Lissu na kunitukana matusi yote, ulishawahi jiuliza Leo nchi hii tungeamua kuwatumia watu Kama hao tungekuwa wapi????
Naomba kuishia hapa nikiwaza nashindwa kuelewa daima🤐🤐🤐🤐
 
Wewe ni mzalendo wa kweli. Unajua ninaposoma kitu huwa nasoma "between the lines". Nimekuangalia kwa jicho la tatu nimekuona wewe ndio mzalendo hasa na hata ukipewa madaraka makubwa utayafanya kwa manufaa ya nchi. Hii nchi ina vijana wengi wazuri lakini mazingira waliyokulia hayakuwapa nafasi ya kuwa kwenye mkondo wa kupata madaraka ya kuongoza nchi. Mkondo wa kuongoza nchi upo kwenye familia chache ambazo hazina uzalendo wa kweli. Mtu kama wewe au mimi ukinipa nchi hii ndani ya miaka 5 tu inakuwa middle income class. Bahati mbaya tumezaliwa katika familia ambazo haziko kwenye mkondo wa madaraka ya nchi. Anyway acha tuishi tu mpaka tutakapokufa basi, ila nchi hii ikipata viongozi kama wewe au mimi it will never be the same anymore.
 
Ndio hivyo mkuu ila bahati mbaya hatuna uwezo kufikia hatua ya juu sana, Ila tunajifunza kwa mataifa ya wenzetu tulipo unajikuta hutamani kumsikia kiongozi wa kitanzania hata sauti yake maana kila aongeapo ni uongo mtupu, uhuni mwingi na kujawa na kiburi Cha uzima, alafu na sisi watanzania tunaishia kushangilia tu daah inauma sana Ila hatuna budi kulia mbele za Mungu ipo siku Mungu atasikia kilio chetu.


Ikiwa taifa la Israel walilia miaka 4 wakiwa utumwani lakini Mungu alikuja kuwasikia kwa wakati wake, na sisi tusivunjike moyo ipo siku tuwe hai ama wafu yupo mtanzania atakuja kuandika historia ya kuwa na uaminifu
 
Ikiwa taifa la Israel walilia miaka 4 wakiwa utumwani lakini Mungu alikuja kuwasikia kwa wakati wake, na sisi tusivunjike moyo ipo siku tuwe hai ama wafu yupo mtanzania atakuja kuandika historia ya kuwa na uaminifu
Mkuu walilia miaka 430 sio miaka 4.
 
It was an Angle, alishamaliza kazi yake.

unakumbuka wale malaika waioenda kuuchoma mji wa Sodoma na Gomora?
walikuwa na maumbo kama ya Binadamu, Ukarimu wa Ibrahimu ndio ulimokolea ndugu yake
 
It was an Angle, alishamaliza kazi yake.

unakumbuka wale malaika waioenda kuuchoma mji wa Sodoma na Gomora?
walikuwa na maumbo kama ya Binadamu, Ukarimu wa Ibrahimu ndio ulimokolea ndugu yake
Thanks mkuu Hilo nalijua vizuri, mpaka Malaika hao walisema inawezekanaje tumfiche rafiki Jambo hili? Ndipo Ibrahim alipewa nafasi ya kuiombea hiyo miji lakini aliishia njiani
 
Thanks mkuu Hilo nalijua vizuri, mpaka Malaika hao walisema inawezekanaje tumfiche rafiki Jambo hili? Ndipo Ibrahim alipewa nafasi ya kuiombea hiyo miji lakini aliishia njiani
''Sisi kama GGGGG..'' Tunasema kazi iendelee.!
 
Milima haikutani binadamu ukutana ipo siku mtakutana
 
Inaendelea....

Habarini ya Jumatano hii wakuu nipo hapa nashangaa huu mjengo ulijengwaje
Wakati natafakari namna ambavyo engineer alipata wazo la kuchora mchoro huu, Huku maskio na akili pia vinawaza report ya BOT Leo itakuwaje na itatoka na Nani au ndio kawaida yetu report inasomwa inatiwa kapuni na maisha yanaendelea.

Wakati haya yote yapo kichwani mwangu na kuyawaza lakini zaidi sana namshangaa Mungu kwa namna anavyonipigania Hadi mdaa huu, Leo hii natamani kuwaletea mwendelezo pale nilipoishia japo kwa kidogo na kugusia pia changamoto ninayoipata katika mahusiano.

Itaendeleaa....
 
Huyu mchungaji hapa ni aliyekuwa afisa usalama wa mkoa wa mwanza mch Mtashi, najua huko mbele lazima utaweka jina lake
 
What a story... Real life experiences. Mungu ni mkuu sana. Asante kwa kushare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…