Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
- Thread starter
- #61
Naendelea mkuuTwende kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naendelea mkuuTwende kazi
Mungu mwaminifu aliacha nipitie magumu ili nije niifurahie maishaHongera kwa uhodari uliotukuka, yaani kila kipande cha historia yako kinaamsha hisia kali sana hakika ulipigana kiume nimetokwa na machozi japo najaribu kujikaza kwa sababu umenikumbusha mbali sana.
Hapa home nina wadogo zangu huwa nawaambia kuna watu wamepitia au wanapitia magumu sana kwa hiyo kama mkishindwa kutumia fursa basi mtanikumbuka mkiwa wakubwa na majukumu yenu.
Binafsi nimesota.
Naendelea mkuuEndelea mkuu,daah!
Sikuiz anajiita Baba Keagan [emoji28][emoji28]uwe una mcheck mkuu umkumbushe alipotoka anaweza kurudi kwny mstariInaendelea.....
Baada ya kupata matokeo hayo mazuri nilianza kuitafuta hela kwa uvudi na uvumba ili kidato Cha tano na sita nisipate shida, Basi nilikimbizana sana na mkaa huku mwingine na kata mwenyewe na mwingine nanunua kwa wenzangu naenda kuuza Pugu, mpaka siku naenda form five nilienda na Tsh 3m, namshukuru Mungu nilipangwa Ilboru secondary na kidato Cha tano na sita sikupata wakati mgumu sana kutoka nilikuwa na connection kidogo nikifunga shule naenda kutengeneza mkaa huko dar maeneo yote King'azi Hadi kwembe na tanuru langu la mwisho ni pale karibu na Mloganzila.
Katika harakati za kukataa mkaa hapa nilionana na mtu mmoja ambae nikimtaja hapa mnaweza shangaa kuwa nae alipita huku lakini alifika mahali akajisahu akawa muuwaji na mwizi, hapa nazungumzia bwana Albert Bashite Daudi[emoji3525][emoji3525][emoji3525] huyu mtu nimekula nae na kupika chakula pamoja na kuendelea kukata mkaa naomba hili niishie hapa.
Mungu mwaminifu Tena mtihani wa mock form six niliambulia 3.15 niliumia lakini kidogo maana mawazo yalianza kuja kuwa mwalimu so hata necta nikipata hiyo sio mbaya naweza kuwa mwalimu na inatosha maana kwa namna nilivyosota inatosha sana.
Itaendeleaa......
Hii naisave for future useInaendelea.....
Baada ya kupata matokeo hayo mazuri nilianza kuitafuta hela kwa uvudi na uvumba ili kidato Cha tano na sita nisipate shida, Basi nilikimbizana sana na mkaa huku mwingine na kata mwenyewe na mwingine nanunua kwa wenzangu naenda kuuza Pugu, mpaka siku naenda form five nilienda na Tsh 3m, namshukuru Mungu nilipangwa Ilboru secondary na kidato Cha tano na sita sikupata wakati mgumu sana kutoka nilikuwa na connection kidogo nikifunga shule naenda kutengeneza mkaa huko dar maeneo yote King'azi Hadi kwembe na tanuru langu la mwisho ni pale karibu na Mloganzila.
Katika harakati za kukataa mkaa hapa nilionana na mtu mmoja ambae nikimtaja hapa mnaweza shangaa kuwa nae alipita huku lakini alifika mahali akajisahu akawa muuwaji na mwizi, hapa nazungumzia bwana Albert Bashite Daudi☹️☹️☹️ huyu mtu nimekula nae na kupika chakula pamoja na kuendelea kukata mkaa naomba hili niishie hapa.
Mungu mwaminifu Tena mtihani wa mock form six niliambulia 3.15 niliumia lakini kidogo maana mawazo yalianza kuja kuwa mwalimu so hata necta nikipata hiyo sio mbaya naweza kuwa mwalimu na inatosha maana kwa namna nilivyosota inatosha sana.
Itaendeleaa......
Ameshupaza shingo Hadi kuingia kanisani na kufanya maigizo, na Bora angeishia tu kufanya maigizo lakini alifika mahali hata kumkufuru Roho mtakatifu, maandiko yako wazi kuwa hii dhambi haisameheki kwa mjibu wa maandiko Ila sijui Mungu mwenyewe anajua zaidi.Sikuiz anajiita Baba Keagan [emoji28][emoji28]uwe una mcheck mkuu umkumbushe alipotoka anaweza kurudi kwny mstari
🙄🙄🙄🏃🏃🏃Hii naisave for future use
Nashusha mkuuShusha madini
Mkuu shida ni kwamba Kama hujawahi kupata shida huwa ni ngumu kuelewa,hasa madogo wa Siku hizi hata hawasikii yaaniHongera kwa uhodari uliotukuka, yaani kila kipande cha historia yako kinaamsha hisia kali sana hakika ulipigana kiume nimetokwa na machozi japo najaribu kujikaza kwa sababu umenikumbusha mbali sana.
Hapa home nina wadogo zangu huwa nawaambia kuna watu wamepitia au wanapitia magumu sana kwa hiyo kama mkishindwa kutumia fursa basi mtanikumbuka mkiwa wakubwa na majukumu yenu.
Binafsi nimesota.
Yeap, mkuu katika maisha ya mwanadamu huwa Kuna mengi sana Kuna wengine wakinihadithia ya kwao mie najiona afadhaliThis is a fantastic true story. Very interesting.
Mzee yupo salama kabisa ndio namhudumia yeye Sasa ndugu pia wapo wanandelea na maisha mkuuVipi kuhusu mzee wako na wale ndugu zako?
Safi sana. Huyo Mzee Mutash ninampata sana. Je uliajiriwa serikalini au bado upo GGM?Mzee yupo salama kabisa ndio namhudumia yeye Sasa ndugu pia wapo wanandelea na maisha mkuu
Ndio mzee Mtashi alifanyaga Mambo yake now naitumikia nchi yangu mkuuSafi sana. Huyo Mzee Mutash ninampata sana. Je uliajiriwa serikalini au bado upo GGM?