Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

Daah!!Safari ndefu yenye milima na mabonde,hakika mungu ana maksudi na ww mkuu.R.i.p Mama ila tupeane connection mkuu.
 
Daah!!Safari ndefu yenye milima na mabonde,hakika mungu ana maksudi na ww mkuu.R.i.p Mama ila tupeane connection mkuu.
Ahsante mkuu nimeshapoa japo historia haiwezi futika kichwani mwangu, usijali mkuu tutaoeana connection pale panapowezekana mkuu
 
Story yako inatia moyo na hamasa kaka
Ila ni kama bado umetuacha na kiu. Sijui hizo zingine utatuletea lini
 
Story yako ni fundisho kubwa Sana,,swali langu kwako mkuu yule mzee wa dar aliekurudisha shule umechukua jitihada gani kumtafuta ili aghalau umpe mkono wa ahsate?
 
Story yako ni fundisho kubwa Sana,,swali langu kwako mkuu yule mzee wa dar aliekurudisha shule umechukua jitihada gani kumtafuta ili aghalau umpe mkono wa ahsate?
Ahsante mkuu, kuhusu yule mzee nilifanya kila aina ya jitihada maana mawasiliano hakunipa na Wala nyumbani kwake hakunipeleka, kumbuka wakati naenda kuanza safari alinipeleka kulala kwa Dada mmoja na hata nilipofanya jitihada za kumtafuta huyo dada pia juhudi ziligonga mwamba maana nilienda Hadi pale Ila sijafanikiwa kumwona Hadi Leo hii.

Hili nalo ni kitu ambacho kinaniuma kweli .
 
Story ya kusisimua sana hii. Mungu akujaalie kusaidia wengine kama ulivyosaidiwa.
 
Hongera!

Mwenyezi MUNGU akutie nguvu katika yote unayopitia.

Swali nje ya mada.

Umefanya kazi Mining (GGM) na sasa unafanya na Serikali.
Ni sehemu gani Serikali inapofeli katika sekta ya madini.

Kwa maana hadi sasa Sekta ya madini haijaonekana kuisaidia nchi ktk uchumi.

Lakini pia hata maeneo yote yenye madini wananchi wake bado maisha yao ni taabu. (Afya, Elimu na Miundombinu).
 
Story ya kusisimua sana hii. Mungu akujaalie kusaidia wengine kama ulivyosaidiwa.
Ahsante mkuu, hili la kusaidia nimeanza kulitekeleza tangu 2015 now Nina vijana wasiopungua 10 ambao nimefadhili mwenyewe na wengine tayari wamehitimu masomo yao ya elimu ya juu, japo kwa Sasa namuomba Mungu anifanikishe niweze anzisha Foundation ambayo nitaipa jina la "NISHIKE MKONO TANZANIA" iweze kusima maombi yenu kwangu muhimu sana mkuu
 
Back
Top Bottom