hahhaahaa...pole.. Hunizidi miMi kwa presha.. Huwezi nikuta natizama game la yanga live.Yanga nao kuanzia sasa hivi inabidi wajifunze,kipindi cha kwanza na kipindi cha pili mwanzoni wanacheza kwa ku relax sana utafikiri tayari wameshashinda.Hawajui wanavyotupa pressure zisizo za lazima sisi mashabiki
Teh...vip matokea jamam?
Huyu wamwahishe ICU Ili atundikiwe drip ya blacklabel......Anawahishwa hospital kwa kupata mstuko wa moyo baada ya mlipuko mkubwa wa kitu kizito kilichotoa sauti ya ajabu....Taaaaambweeeeeeeeeee
Kabisa baba,hongera kwetu sote...kombe ni letu sote.Itabidi tuandae sherehe na sare za ushindi siku ya mechi na mbao..Hongera kwa ushindi mwanangu..Hongera kwa ubingwa
Baada ya hangaika kumsaidia Toto hiki ndio kilichomkuta
Kumbe na wewe mshabiki wa simba lolHahahahaha lol! Hii picha inachekesha🙂🙂. Imenikumbusha mtanange wa Simba na Nyati. Yule Simba alipigwa vibaya sana nadhani alikufa maana hata kukimbia alishindwa akabaki kukaa chini na Nyati akawa anarudi nyuma na kumtandika pembe za nguvu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kabisa na tulivyo na hasira nazo tutaziranda tu haijalishi zitakuwa zimelowa ama laa.Kabisa baba,hongera kwetu sote...kombe ni letu sote.
Hakika sikukosea kuichagua Yanga [emoji39]
Hakuna mechi ninayoisubiri kwa hamu na hasira kali kama mbao,alisema idawa "Tutataziranda mbao kwa msumeno wenye kutu kwa hasira" hahaha
Naskia rufaa Fifa mnasubiri matokeo ya leo yanga ifungwe ndo muipeleke?[emoji4] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hebu wasaidieni hao Toto wasishuke daraja
Hebu malizia basi baada ya kufungwa lile goli hali zao zilikuwaje?Nilikuwa kwenye kibanda umiza kabla ya goli Malalamiko fc walikuwa wanashangilia hatari
Tunapokosana ni padogo sana ila ndio hivyo tena wacha tushushe pumzi kidogo tuserebuke haikuwa kazi nyepesiKabisa baba,hongera kwetu sote...kombe ni letu sote.
Hakika sikukosea kuichagua Yanga [emoji39]
Hakuna mechi ninayoisubiri kwa hamu na hasira kali kama mbao,alisema idawa "Tutataziranda mbao kwa msumeno wenye kutu kwa hasira" hahaha