Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Kutoka Taifa: Yanga Vs Toto African, vita ya ubingwa ama kushuka daraja!

Ebana eeh kamusoko analisakata balaa huku msuva kule juma abdul,the best right defender in tz at the moment
 
Yanga nao kuanzia sasa hivi inabidi wajifunze,kipindi cha kwanza na kipindi cha pili mwanzoni wanacheza kwa ku relax sana utafikiri tayari wameshashinda.Hawajui wanavyotupa pressure zisizo za lazima sisi mashabiki
hahhaahaa...pole.. Hunizidi miMi kwa presha.. Huwezi nikuta natizama game la yanga live.

Huwa nafuatilia hapa tu.

Nina pressure kali.
 
719745458c40ad4fe50f4e22f1e9efeb.jpg
Anawahishwa hospital kwa kupata mstuko wa moyo baada ya mlipuko mkubwa wa kitu kizito kilichotoa sauti ya ajabu....Taaaaambweeeeeeeeeee
Huyu wamwahishe ICU Ili atundikiwe drip ya blacklabel......
 
Itabidi tuandae sherehe na sare za ushindi siku ya mechi na mbao..Hongera kwa ushindi mwanangu..Hongera kwa ubingwa
Kabisa baba,hongera kwetu sote...kombe ni letu sote.
Hakika sikukosea kuichagua Yanga [emoji39]

Hakuna mechi ninayoisubiri kwa hamu na hasira kali kama mbao,alisema idawa "Tutataziranda mbao kwa msumeno wenye kutu kwa hasira" hahaha
 
Daah mkuu kwani mafuriko huko uliko hayajaisha? na tv na radio hazisomeki ? yanga 1 toto lake bashite ila bado mikia anaweza kubeba ubingwa bila ya rufaa kwani yanga atapigwa na mbao tena huku mikia itashinda 13-0 dhidi ya mwadui.
 
Hahahahaha lol! Hii picha inachekesha🙂🙂. Imenikumbusha mtanange wa Simba na Nyati. Yule Simba alipigwa vibaya sana nadhani alikufa maana hata kukimbia alishindwa akabaki kukaa chini na Nyati akawa anarudi nyuma na kumtandika pembe za nguvu.
Kumbe na wewe mshabiki wa simba lol

Hebu wacha kuweka roho juu njoo yanga upate raha huko utapungua kilo buree. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kabisa baba,hongera kwetu sote...kombe ni letu sote.
Hakika sikukosea kuichagua Yanga [emoji39]

Hakuna mechi ninayoisubiri kwa hamu na hasira kali kama mbao,alisema idawa "Tutataziranda mbao kwa msumeno wenye kutu kwa hasira" hahaha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kabisa na tulivyo na hasira nazo tutaziranda tu haijalishi zitakuwa zimelowa ama laa.
 
Kabisa baba,hongera kwetu sote...kombe ni letu sote.
Hakika sikukosea kuichagua Yanga [emoji39]

Hakuna mechi ninayoisubiri kwa hamu na hasira kali kama mbao,alisema idawa "Tutataziranda mbao kwa msumeno wenye kutu kwa hasira" hahaha
Tunapokosana ni padogo sana ila ndio hivyo tena wacha tushushe pumzi kidogo tuserebuke haikuwa kazi nyepesi
 
Back
Top Bottom