Julias Vimvinyira
Senior Member
- Jun 2, 2025
- 155
- 205
Wakenya wamewekeza sana kwenye Kiswahili, Vyuo vyao vikuu kila mwaka wana dhamini wanafunzi wa PhD ya Kiswahili.Fursa karibia zote za kiswahili wanapewa wakenya.
Hata Mlima Kilimanjaro waliutangaza upo kenya wakawa wanapokea wataliii wanawapa na service ya kwenda Kilimanjaro.
Wake ya wamewekeza sana kwenye Kiswahili, Vyuo vyao vikuu kila mwaka wana dhamini wanafunzi wa PhD ya Kiswahili.
Sisi tunaongea Kiswahili lakini Kenya wamekiweka kwenye academic level. Ni kweli walimu wengi wa Kiswahili vyuo vikuu mbali mbali duniani ni Wakenya.
Tofauti ya Kenya na sisi kwenye lugha ya kiswahili ni ipi? Kiswahili hakikuanzia Tanganyika tu, kilianzia pwani ya Kenya na Tanzania yaan Lamu, Malindi, Mombasa, visiwa vya Pemba na Unguja, Tanga, Dar es Salaam mpaka Kilwa na Mafia, bahati mbaya ubinafsi wetu kama ilivyo CCM tunadai kiswahili ni chetu peke yetu!Wakenya wamewekeza sana kwenye Kiswahili, Vyuo vyao vikuu kila mwaka wana dhamini wanafunzi wa PhD ya Kiswahili.
Sisi tunaongea Kiswahili lakini Kenya wamekiweka kwenye academic level. Ni kweli walimu wengi wa Kiswahili vyuo vikuu mbali mbali duniani ni Wakenya.
Wakenya na Wanyarwanda watatutizi sana kwenye kuwekeza lugha ya kiswahili, wana walimu wengi sana nje ya nchi, tatizo sisi tunajungua kuongea cha mtaani lakini sio cha ki-academic tungekua na chuo hata cha kiswahili tofauti na sasa tuna kitivo tu ambacho pia kimejaa siasa na blaa blaa nyingi.Wakenya wamewekeza sana kwenye Kiswahili, Vyuo vyao vikuu kila mwaka wana dhamini wanafunzi wa PhD ya Kiswahili.
Sisi tunaongea Kiswahili lakini Kenya wamekiweka kwenye academic level. Ni kweli walimu wengi wa Kiswahili vyuo vikuu mbali mbali duniani ni Wakenya.
Unamsikia mtangazaji akisema nyimbo hii! 😆😆Wakenya na Wanyarwanda watatutizi sana kwenye kuwekeza lugha ya kiswahili, wana walimu wengi sana nje ya nchi, tatizo sisi tunajungua kuongea cha mtaani lakini sio cha ki-academic tungekua na chuo hata cha kiswahili tofauti na sasa tuna kitivo tu ambacho pia kimejaa siasa na blaa blaa nyingi.
Tatizo ni mfumo wenu ambao viongozi wanataka muwe hivyo Maisha yoteWakenya na Wanyarwanda watatutizi sana kwenye kuwekeza lugha ya kiswahili, wana walimu wengi sana nje ya nchi, tatizo sisi tunajungua kuongea cha mtaani lakini sio cha ki-academic tungekua na chuo hata cha kiswahili tofauti na sasa tuna kitivo tu ambacho pia kimejaa siasa na blaa blaa nyingi.
Mhe. Nyamko, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na aliyekulia Tanzania, amesema Kiswahili ni lugha inayovuka mipaka
Wakenya wamewekeza sana kwenye Kiswahili, Vyuo vyao vikuu kila mwaka wana dhamini wanafunzi wa PhD ya Kiswahili.
Sisi tunaongea Kiswahili lakini Kenya wamekiweka kwenye academic level. Ni kweli walimu wengi wa Kiswahili vyuo vikuu mbali mbali duniani ni Wakenya.
Inasikitisha sanaTatizo ni mfumo wenu ambao viongozi wanataka muwe hivyo Maisha yote
Hata Mbuzi watasema ni wa Kenya
Pilipili, Avocados, Kahawa zote hizi zinapelekwa nje kwa jina la Kenya
Urasimu mwingi, hata maendeleo wanataka Rushwa.
Ndio mfumo nchi imejitengenezea hivyo.
Hakuna wa kumlaumu bali wenyewe
Huwezi kupata kitu mpaka utoe hela
Kuna Dogo alinichekesha kwa kusema kuwa alienda kulipia Ardhi akaulizwa hongo
Yaani wamezoea Rushwa mpaka wanasahau lipi la kuuliza
Yaan sisi ndo tumejiita waswahili kbs.Tofauti ya Kenya na sisi kwenye lugha ya kiswahili ni ipi? Kiswahili hakikuanzia Tanganyika tu, kilianzia pwani ya Kenya na Tanzania yaan Lamu, Malindi, Mombasa, visiwa vya Pemba na Unguja, Tanga, Dar es Salaam mpaka Kilwa na Mafia, bahati mbaya ubinafsi wetu kama ilivyo CCM tunadai kiswahili ni chetu peke yetu!
Hatujarogwa Mkuu bali ni tamaa za baadhi ya wapumbavu ambao wao kila kitu ni diliInasikitisha sana
Imagine kitunguu cha Karatu kinaenda Kenya wana process wanasafarisha package zinaandikwa product ni ya Kenya. SISI TUMEROGWA BANA