Lile dubwana nimelishangaa sana ila kuna mzee wa ubwabwa jana kalipasha dubwana sawa sawa 😂!.Sio kwetu hapa.hata wazee ni wajinga wajinga aise mfano lile dubwana sijui lilipwa sh ngapi kuja na tamko eti la vyama 13 likijinasibu Kwa kusema eti maandamano sio utamaduni wetui lile ngese cjui linaishigi wapi. Ilitakiwa likanyongewe nyumbani kwake lile Debe tupu.