Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

Yaan unamlinganisha na prof Mwandosya!!! Sizani kama akili zako ziko sawa
 
Usitake nikutukane bure.Hakuna kipya CCM,huyo Makamba ni sehemu ya Urais wa KIKWETE.Yeye ni Waziri.Kufeli kwa kikwete ni kufeli kwake pia.Aache kutulaghai.

Hebu Twambie kipya kutoka UKAWA na chadema maana kila mwaka mgombea ni yule yule Padri!
 
Kumbe amefanya kazi na jk ina maana atavaa kiatu cha jk

Akishaapishwa tu.anaanza safari za ulaya
 
kijana mwenye uwezo wa kuyaainisha na kuyachambua matatizo na kero za wananchi na kuonyesha namna anavyoweza kuyatatua...big up!
 
Kaongea mambo makubwa sana kwa ajili ya kuivusha Tanzania yetu,ila kwa character yake nothing of all will be put in actions.Uongo mtupu,tokea ile sheria ya kutufunga midomo JANUARY HAFAI TENA
 
Kweli ana akiri ndio maana anatudanganya kama watoto,
Angekuwa na akili basi angeongea ukweli
 
Wanabodi,

Mengi yamesemwa na wagombea urais kupitia ccm wakati wakitangaza nia lakini jamani tuwe wakweli Bwana Mdogo Januari Makamba yupo juu. He has delivered a very sensational speech.

King Cobra.
 
Mkuu umemrarua Ritz! Mkuu Ritz pole sana ndio jf hii
Kamanda kuniambia nikauze pweza ndiyo kanirarua Ahahaha mimi mbona muuza kahawa tu pweza kanikweza sana.

Kwa hiyo kamanda Chadema hawana haja na kura za wauza pweza?

Teh teh teh teh
 
Last edited by a moderator:

Mkuu sio huko tu hata ITV na STAR pia matangazo yanatika
 
kijana mwenye uwezo wa kuyaainisha na kuyachambua matatizo na kero za wananchi na kuonyesha namna anavyoweza kuyatatua...big up!

Teh teh....hata Kigwangala naye anaweza kuainisha matatizo ya wananchi
 

Kama mtu muelewa kodi ndo inaongoza nchi katika mfumo wa kuwezesha wanaanchi.. kazi ya kuijenga nchi ni kazi ya kujenga mifumo ya kusapoti wanaachi katika kuwezesha serikali kusaidia wale wasiojiweza..

Kwa miaka mingi mfumo wa nchi umejaa mfumo wa kuudumia wageni na wenye nacho uko pesa za wale ambao awana pesa wakiangaika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…