DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Yaan unamlinganisha na prof Mwandosya!!! Sizani kama akili zako ziko sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitake nikutukane bure.Hakuna kipya CCM,huyo Makamba ni sehemu ya Urais wa KIKWETE.Yeye ni Waziri.Kufeli kwa kikwete ni kufeli kwake pia.Aache kutulaghai.
mzee wa upaa kameza nondo..
Huyu ataendelea kuwa rais kivuli muda wote.
pigo lingine kwa UKAWA maana wao kiongozi na Mgombea Rais wa kudumu ni Slaa na ukimpinga tuu unafukuzwa kama panya!
Kamanda kuniambia nikauze pweza ndiyo kanirarua Ahahaha mimi mbona muuza kahawa tu pweza kanikweza sana.
Nasikiliza hotuba ya mtia nia J.Makamba kupitia Redio Clauds FM,mimi sio mshabiki wa huyu mtu lakini nimekkerwa na redio hii kukatisha matangazo kila Makamba anapozungumzia jinsi atakavyoshughulikia wala rushwa na wahujumu uchumi,mfano walikatisha matangazo alipofika sehemu ya kuifumua na kuipa meno TAKUKURU halafu wakarudisha alipomaliza maelezo hayo,pia alipofika sehemu ya kuwaomba wananchi kuwapa walarushwa ADHABU ZA KIJAMII kama kususia sherehe zao zilizogharimu mamilioni ya shilingi walikatisha,kwa wenye ufahamu wanatambua kama redio hii wako upande gani kati ya watia nia hata kama wanafanya biashara ya matangazo.
kijana mwenye uwezo wa kuyaainisha na kuyachambua matatizo na kero za wananchi na kuonyesha namna anavyoweza kuyatatua...big up!
Tatizo sio mgombea,Tatizo CCMHebu Twambie kipya kutoka UKAWA na chadema maana kila mwaka mgombea ni yule yule Padri!
We wakuja fani za watu hizi unafikiri siku hizi watu wanasoma makaratasi kama lowassa.
Serikali isiyofanya biashara inapata wapi pesa zaidi ya kutoza kodi na ushuru? Yeye hizo fedha aseme atatoa wapi maana hazina ni ile ile sio akiingia yeye itajaa mapesa ya kuwapa wanafunzi na wanavijiji kirahisi rahisi wabongo rahisi sana kudanganyika.