CHENGU MANURE JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 914 Reaction score 566 Jun 7, 2015 #41 Mawaziri kumi na nane waadilifu. Hapo uko sahihi
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,267 Jun 7, 2015 #42 mwambojoke said: View attachment 258211 Click to expand... Analeta utoto huyu!
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,378 Reaction score 29,739 Jun 7, 2015 #43 Ila anaongea kama "geneous" fulani, bahati mbaya simkubali toka anibanie MB na kunipa 8MB!!
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,271 Jun 7, 2015 #44 Kipaumbele cha huduma bora za jamii shule, afya. Maji na mawasiliano.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,277 Reaction score 8,860 Jun 7, 2015 #45 Hawa watu wa ccm ni waajabu sana Uongo kwao ni ibada
CHENGU MANURE JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 914 Reaction score 566 Jun 7, 2015 #46 Anajitahidi kuwa straight kwenye hoja zake. Baada ya cag kumpa report siku hiyohiyo viongozi tajwa wanasimamishwa.
Anajitahidi kuwa straight kwenye hoja zake. Baada ya cag kumpa report siku hiyohiyo viongozi tajwa wanasimamishwa.
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 616 Jun 7, 2015 #47 safari hii watanzania sijui tumekula maharagwe ya wapi sieeeeeeee kila mtu anaamini anaweza kutuongoza.....
safari hii watanzania sijui tumekula maharagwe ya wapi sieeeeeeee kila mtu anaamini anaweza kutuongoza.....
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,408 Reaction score 2,196 Jun 7, 2015 #48 Scofied said: eti yupo kama nyerere..kweli wamechanganyikiwa.. Click to expand... Na makongoro Nyerere atasemaje sasa. Au atasema yupo kama Makamba hahaha!!
Scofied said: eti yupo kama nyerere..kweli wamechanganyikiwa.. Click to expand... Na makongoro Nyerere atasemaje sasa. Au atasema yupo kama Makamba hahaha!!
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,181 Reaction score 6,813 Jun 7, 2015 #49 Kwakweli anatiririka vizuri,hili jembe ndilo linatufaa kwa sasa kutuondoa kwenye lindi la umaskini.
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Jun 7, 2015 #50 Huyu dogo kina Kusaga wanamdanganya watampeleka ikulu kumlipa fadhila anapoteza mahela yake bure.
regam JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 269 Reaction score 52 Jun 7, 2015 #51 Naanza kuamini kwamba Jk lilikuwa chaguo la Mungu ili tuondokane na dhulma ya CCM tuliyoipata kwa miaka mingi
Naanza kuamini kwamba Jk lilikuwa chaguo la Mungu ili tuondokane na dhulma ya CCM tuliyoipata kwa miaka mingi
M mauki barakuda Senior Member Joined Apr 17, 2015 Posts 126 Reaction score 31 Jun 7, 2015 #52 Kipaumbele cha mwisho ni.. Kulinda umoja, amani, usalama na mali ya watanzania
M mauki barakuda Senior Member Joined Apr 17, 2015 Posts 126 Reaction score 31 Jun 7, 2015 #53 Anaanza kufafanua majawabu
G GRAND MUFTI Senior Member Joined Jun 3, 2015 Posts 136 Reaction score 109 Jun 7, 2015 #54 Bakwata???
Urani JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 288 Reaction score 99 Jun 7, 2015 #55 Anasema ataunda Baraza la Uchumi la Taifa litakalokuwa na magwiji wa uchumi nchini.
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,933 Reaction score 5,394 Jun 7, 2015 #56 Kibo10 said: Hawa watu wa ccm ni waajabu sana Uongo kwao ni ibada Click to expand... hahahahaja...Huu kijana anapaka ranging upepo
Kibo10 said: Hawa watu wa ccm ni waajabu sana Uongo kwao ni ibada Click to expand... hahahahaja...Huu kijana anapaka ranging upepo
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Jun 7, 2015 #57 christine ibrahim said: Huyu mwanachuo anaongea nn jamani Click to expand... Hata sielewi halafu ni msomi huyo sasa!
christine ibrahim said: Huyu mwanachuo anaongea nn jamani Click to expand... Hata sielewi halafu ni msomi huyo sasa!
M mansoorsaid JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 1,498 Reaction score 286 Jun 7, 2015 #58 wewe januari pamoja na baba yako yusuph makamba hamfai kabisa hamstahili kusimama mbele ya watanzania kujinadi eti mnafaa kuongoza nchi
wewe januari pamoja na baba yako yusuph makamba hamfai kabisa hamstahili kusimama mbele ya watanzania kujinadi eti mnafaa kuongoza nchi
crabat JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 4,323 Reaction score 2,207 Jun 7, 2015 #59 Huyu ndio kijana tumtakae Ni Msomi Mzoefu Well informed Still learnung new things He accept challenges Millenial New generation of young leaders New vision Msikivu Ana heshma kwa rika zote Anatufaa kabisa He is a perfect candidates
Huyu ndio kijana tumtakae Ni Msomi Mzoefu Well informed Still learnung new things He accept challenges Millenial New generation of young leaders New vision Msikivu Ana heshma kwa rika zote Anatufaa kabisa He is a perfect candidates
CHENGU MANURE JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 914 Reaction score 566 Jun 7, 2015 #60 Dogo anajitahidi