Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

anatuwekea uhuru,wakati kishatubana kwenye freedom of speech,sauti katika maamuzi ya nchi yetu tutaitolea wapi?acha uongo January

Ule uzi mwingine wameufunga, dah!
 
eti manunuzi ya umma kupewa makampuni,si ndiyo ubinafsishaji huu ni kweli watapewa kina mama na vijana au ndo mtapeana tenda wenyewe?
 
Nimeupenda mpangilio wa stage yake... Nadhan kakopi from us!
 
Yupo vizuri Jamani. Amethubutu kama kijana na haki yake ya kugombea nafasi hiyo...
 
Huyu dogo kina Kusaga wanamdanganya watampeleka ikulu kumlipa fadhila anapoteza mahela yake bure.

Kumbe ndio hivyo? Kazi kwelikweli.
Huyo Kusaga yupo kwenye kamati kuu? Lol
 

Series
Series
Series
 
HUYU katudanyanya eti kunawili kwa nchi yetu hakutokani na mapato kwa kutoza kodi,nani kamdanganya?
 
Huyu si ndiye aliyeshinda kura za maoni za ubunge kwa kutumia kadi feki za CCM zilizotengenezwa na Baba'ake? Huyu si ndio juzi tu katuletea sheria ya mitandaoni tena kwa hati ya dharura na bado hatujasahau? Ama kweli sasa CCM Urais kwao ni kama kichwa cha mwendawazimu kila mwanachama wao anataka kunyoa!
 
Halafu ule wa Membe wamefuta posts kibao,sijui ndo wanaogopa kwenda segerea?

Hahahahahaa, si unajua hawa ni watu wa aina gani? Mwenzangu na kule nimefungukaje?
Bora wafute tu.
 
eti manunuzi ya umma kupewa makampuni,si ndiyo ubinafsishaji huu ni kweli watapewa kina mama na vijana au ndo mtapeana tenda wenyewe?

Akisema kina mama anamaanisha shosti zake Mwamvita.
 

Kichwa cha mwendawazimu.....
Hahahajaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…