Uchaguzi 2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
Hawa wana majibu unayotaka
Your browser is not able to display this video.
 
Hata zile ruzuku tuaazomlipa DJ tungejenga ofisi hadi ngazii ya kata nchi nzima na kuwalipa Viongozi wa ngazi za chini
Diamond platnumz na zuchu[emoji848][emoji848][emoji848]
Hayo mabilioni mnayowalipa wasanii si mngewalipa hata walimu malimbikizo yao, raisi wanyonge watanzania mpaka wafe

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Sera na Mikakati ya kiuchumi na kijamii ndicho wanachotaka wananchi. Niongezee kwenye Ilani ijayo ya CCM- barabara zote zinazoingia na kutoka kwenye majiji ya Dar, Mbeya,Arusha, Mwanza,Dodoma na Tanga ziwe ni njia 4 KM 20 ili miji hiyo iwe na taswira ya kimataifa. Maendeleo hayana Chama. Wapinzani mkubali kushindwa mapema. Yaishe
 

Hovyooo. Ujinga tu. Tbccm kwendeni huko na upupu wenu. Hamna mvuto kabisa. Sisi tunaangalia Aljazeera.
 
msisahau kueleza sera hizi mlivyozipatia...
1. Mlivyotesa watumishi waumma kwa madeni ya Helsb kupaishwa nakisha kuwanyima stahiki zao.
2. Mlivyowatesa wanafunzi Kwanjaa badala ya kuagiza Ada ilipwe kwaminajili ya chakula.
3. kuteseka Kwa wenye mawazo mbadala, wanaowakosoa kuanzia wanasiasa washindani mpaka wasanii.
4. Jinsi mlivyovifunga mdomo vyombo vya habari vinapokosoa Kwa kutumia vitisho na faini.
5. Mlivyoliweka bunge kiganjani, kulinyima sauti na kufanya maamuzi bila ridhaa ya bunge.
6. Pesa zilivyonyang'anywa kwawafanya biashara wakubwa kibabe na kwakesi zisizoeleweka Ili kujengajenga
7. Kusitisha mchakato muhimu wa katiba mpya licha ya uhitaji napesa nyingi kutumika hapo awali.
8. Mlivyoiporomosha sekta binafsi ili sirikali iongoze kilajambo nakushika uchumi wa wananchi.
9. Kiongozi anavyobagua maendeleo maeneo ya washindani na kuwaambia wananchi 'wasikosee tena kuchagua' ikiwa nikauli ya kuwatisha.
10. Taasisi kusumbuliwa na kamati za siasa wakati tulielezwa siasa nimpaka kipindi cha uchaguzi.
11. Maendeleo na ujenzi kukimbizwa zaidi chatto nakanda yaziwa mwanza nk.
12. Kushindwa kuendeleza ruzuku kwa wakulima nakushindwa kutafuta masoko kwamazao yao.
13. Kudharau jitihada zilizofanywa na watangulizi na kuwaona walihujumu taifa kwakuruhusu 'tukaibiwa mmno' nakwanini wao hawashtakiwi kwauhujumu uchumi Kama wengine?
Hayo 13 kwanza mengine yatafuata
 
Leo ni meendo wa Nyundo dhidi ya Spana
 
Watanzania wanalala,wanaamkia na wanashinda njaa, KANU ilianza hivyo hivyo na ilipotea hewani
Mara ya mwisho kusikia janga la njaa ni lini?
Serikali ya Magufuli inapambana na Covid 19 huku kilimo kikiendelea
 
Nimeona Star TV wakimnadi jiwe kwa jinsi alivyo shughulika na korosho pia Corona. Wamesema kwa Corona ni mfano wa kuigwa na dunia nzima!

Mleta mada umemdunisha jiwe. Kesho anakwenda kuweka mustakabali wa dunia!
Hakika kwani dunia imefuata alichosema na kutenda dhidi ya covid 19
 
Mara ya mwisho kusikia janga la njaa ni lini?
Serikali ya Magufuli inapambana na Covid 19 huku kilimo kikiendelea
Unadhani janga la njaa linaletwa na nzige tu. Kule Geita watu wanaishi kwa kula mananasi wake kwa Waune. Hilo ni janga la njaa. Ikifika SAA mbili usiku kila mtu Yuko nyumbani kwake ana angalia ITV,Hilo ni janga la njaa.
 
Safi Sana,Sera madhubuti,siyo mtu unakusanya wananihii wenzako unaanza kuwasimulia hadithi za safari yako ya Nairobi Hadi ubelgiji,ama unawasimulia namna ya watu watakavyo nufaika na ushoga
 
Safi Sana,Sera madhubuti,siyo mtu unakusanya wananihii wenzako unaanza kuwasimulia hadithi za safari yako ya Nairobi Hadi ubelgiji,ama unawasimulia namna ya watu watakavyo nufaika na ushoga
Watanzania wengi hawajui maradha ya vyama tawala vilivyo kaa madarakani miska mingi.sasa muulize change,masele,ngeleja, Adadi rajabu watakusimulia.
 
Mimi mtumishi wa Umma sijatajwa!.. sipaswi kuja kwenye Fiesta yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…