Uchaguzi 2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

Hakika kwani dunia imefuata alichosema na kutenda dhidi ya covid 19

Nasikia dunia yote itakuwa ime tune TBC kupokea mustakabala.
Hakika kwani dunia imefuata alichosema na kutenda dhidi ya covid 19

Dunia nzima itakuwa ime tune TBC online kupata maelekezo.

Yataka kujitoa ufahamu kweli kweli angalau kufanana na jina la mleta mada kutouona ukweli huo.
 
Nimeona Star TV wakimnadi jiwe kwa jinsi alivyo shughulika na korosho pia Corona. Wamesema kwa Corona ni mfano wa kuigwa na dunia nzima!

Mleta mada umemdunisha jiwe. Kesho anakwenda kuweka mustakabali wa dunia!
...🙄🙄🙄....yaani mustakabali wa dunia unawekwa na Rais wa nchi moja iliyoingia "uchumi wa kati chini" miezi michache iliyopita?
 
Nasikia dunia yote itakuwa ime tune TBC kupokea mustakabala.

Dunia nzima itakuwa ime tune TBC online kupata maelekezo.

Yataka kujitoa ufahamu kweli kweli angalau kufanana na jina la mleta mada kutouona ukweli huo.
Dunia nzima ilikombolewa kutoka kifungo cha Corona baada ya kauli ya JPM
 
Kidumu chama cha mapinduzi
 
Kidumu chama cha mapinduzi
 
Attachments

  • IMG-20200827-WA0007.jpg
    34.5 KB · Views: 1
Hakuna haja ya wewe kutukaribisha wakati malori yameanza kutukusanya vijijini kutuleta kwa tangazo la kuwaona wasanii wote bure.
ANGALIZO;
Mkimaliza hili tamasha mturudishe kwetu, kutembea kilometa 50 au 30 ni mateso jamani!
 
Nimeona Star TV wakimnadi jiwe kwa jinsi alivyo shughulika na korosho pia Corona. Wamesema kwa Corona ni mfano wa kuigwa na dunia nzima!

Mleta mada umemdunisha jiwe. Kesho anakwenda kuweka mustakabali wa dunia!
Utakubali kiaina, huuo ndo the world leader sema tu ahatua hela kama taifa ila tungekuwa nazo wangetuheshim tu.
 
S
Hakuna haja ya wewe kutukaribisha wakati malori yameanza kutukusanya vijijini kutuleta kwa tangazo la kuwaona wasanii wote bure.
ANGALIZO;
Mkimaliza hili tamasha mturudishe kwetu, kutembea kilometa 50 au 30 ni mateso jamani!
View attachment 1551467
Shida iko wapi wapi?
kwani hao wa chadema waliotoka arusha na sehemu zingine walikuja kwa mguu?
Wamependa wenyewe na wameona hakuna kukosa siku muhimu.

Wasingependa chama wasingepanda hayo maroli na yangerudi matupu.
CCM HOYEEEE
 
Akikujibu pata kilimanjaro water ya bariiiidi
 
CCM imepoteza mvuto watu hawaendi kwa ajili ya chama wanaenda kwa sababu ya wasanii, hari halisi mtaani inaonekana
 
Ivi CHADEME kweli siku ya kwanza Tu mnachangisha Pesa Hata bila kutuambia mnakwenda kutufanyia nini Mkishinda how do u win new Voter kwa kuwachangisha the Very First day ya kam,
Mikutano ya ccm watu wanaenda kuangalia wasanii uthibitisho ni huu Anglia show za diamond watu wanavyojaa tena kwa kulipa kiingilio kama hii ilikuwa iringa
View attachment 1551232
je ukiwa bure itakuwaje
Wewe utajua ni Diamond Jumuiya ya Kimataifa Wakiona Picha watajua ni CCM unawashawishi yule ni Diamondi na Sio CCM Siasa ni Akili picha za Leo Hazitaandika Concert LA Diamond Zitaandikwa Campaign za CCM zaanza Kwa Kishindo so Dunia Itaona Si Mnataka mabeberu Wajue nguvu ya CCM subirini Leo tunakendwa kutuma ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…