OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Umeangalia mpira? Au mradi uonekane mashabiki?Alafu hizo dakika 7 zimeongezwa kufidia muda gani uliopotea!!?? Tunaleta utani sana kwenye mpira.
Kumbe una'hisi tu, nilidhani ni fact kumbe ni 'hisia' tu mkuuNahisi refa kapata muamala lakin ndio hvyo kawachinjia baharini
mfupa aliyeushinda yeye wengine watauweza. Kipindi cha malinzi walitusumbua sana hawa. Wao washasahau. Nawakumbusha kutesa kwa zamuHivi kwanini Yanga wanapenda kulalalmika....?
Mkuu dakika ziliongezwa kwa team moja?Mpira umechezwa dakika 99, Goal limepatikana dakika ya 98 wakati dakika zilizoongezwa ni 7!!!!
Kweli mechi zetu zote za kimataifa tulizoshinda walikuwa wanaongeeza tu midakikaHii Mechi inaonyesha utoto wa soka la Tanzania ndio maana ni kichwa cha mwendawazimu hizi timu ndio mtatoka mwende nje mkafanyenini?...
Huu utoto ndio unatuangusha kama nchi kupata maendeleo......
HIZO DAKIKA SABA JKT WALIKUWA WAMESIMAMA??? NA KWA KUPOTEZA KULE MUDA ILISTAHILI ZIONGEZWE HATA DAKIKA KUMI..... wewe ni shabiki mzuri wa ndala....Maana ya kutosimamisha muda ndo zile dakika za nyongeza. Sasa kwa mtazamo wako unaona ni sahihi kuongeza dakika 7!? Unaamini dakika saba zilipotea katika mchezo!? Tuache mahaba. Mimi ni shabiki mzuri sana wa Simba lkn napinga vitendo hivi vya upangaji matokeo, tuache mpira uchezwe mshindi apatikake kwa juhudi na uwezo wake.
mazingira gani..... yanga mtateseka sana aisee...Kwa mazingira ya mchezo ziliongezwa kwaajili ya simba. Kumbuka JKT walikuwa pungufu, dakika zilizoongezwa hazilingani na zilizopotea, faulo wanapewa simba tu za JKt zinaminywa n.k
Katika mazingira hayo mlengwa alikuwa Simba na wamefanikiwa japo ina athari kubwa sana kwa soka la Tanzania.
siku hizi kila shabiki wa ndala anajifanya simba kwanini hamtaki kujulikana ni ombaomba fc au mnalazishwa kuchangia!Maana ya kutosimamisha muda ndo zile dakika za nyongeza. Sasa kwa mtazamo wako unaona ni sahihi kuongeza dakika 7!? Unaamini dakika saba zilipotea katika mchezo!? Tuache mahaba. Mimi ni shabiki mzuri sana wa Simba lkn napinga vitendo hivi vya upangaji matokeo, tuache mpira uchezwe mshindi apatikake kwa juhudi na uwezo wake.
Pole ndugu,ukinywa maji mengi inasaidiaNi upuuzi kushabikia Goal lililopatikana katika mazingira ya dhuluma. Mpira wetu bado sana, upuuzi tu.
Acha Urongo wewe,goli limepatikana dk 96 +7Mpira umechezwa dakika 99, Goal limepatikana dakika ya 98 wakati dakika zilizoongezwa ni 7!!!!
Wanateseka sana hawa watumazingira gani..... yanga mtateseka sana aisee...
hahaha...... aisee we jamaa !!!!Kweli mechi zetu zote za kimataifa tulizoshinda walikuwa wanaongeeza tu midakika
Mechi ya nkana waliongeza dk 30
Ya mbabane waliongeza 40
Ya soura walipngeza 200
Ya ahly waliongeza dk 500
Ya vita wakaongeza dk 1000
Ya mazembe walipunguza dk 50
unamaanisha yanga ni jike sioUnajua hakuna kitu kibaya kama kunuswa nyuma. Sasa ndio kinawakumba YANGA.
kumbe hata huku upo!Sio mbaya
Ila nyie tuliwafunga kwa urahisi...teh!