Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Hii Mechi inaonyesha utoto wa soka la Tanzania ndio maana ni kichwa cha mwendawazimu hizi timu ndio mtatoka mwende nje mkafanyenini?...

Huu utoto ndio unatuangusha kama nchi kupata maendeleo......
Kweli mechi zetu zote za kimataifa tulizoshinda walikuwa wanaongeeza tu midakika
Mechi ya nkana waliongeza dk 30
Ya mbabane waliongeza 40
Ya soura walipngeza 200
Ya ahly waliongeza dk 500
Ya vita wakaongeza dk 1000
Ya mazembe walipunguza dk 50
 
Dakika zimeongezwa 7 ili zitumike kwa timu zote mbili ,haimaanishi ni timu ipi Je,wangepata goli JKT ktk hizo Dakika 7 maneno yasingekuwepo Ushabiki mwingine ni wa kipuuzi tu.
 
Maana ya kutosimamisha muda ndo zile dakika za nyongeza. Sasa kwa mtazamo wako unaona ni sahihi kuongeza dakika 7!? Unaamini dakika saba zilipotea katika mchezo!? Tuache mahaba. Mimi ni shabiki mzuri sana wa Simba lkn napinga vitendo hivi vya upangaji matokeo, tuache mpira uchezwe mshindi apatikake kwa juhudi na uwezo wake.
HIZO DAKIKA SABA JKT WALIKUWA WAMESIMAMA??? NA KWA KUPOTEZA KULE MUDA ILISTAHILI ZIONGEZWE HATA DAKIKA KUMI..... wewe ni shabiki mzuri wa ndala....
 
Mchezo wa leo Simba ilistahili kushinda japo walipoteza nafasi nyingi za wazi na hassa Okwi. Simba inacheza kila baada ya masaa 48 na leo unawaona wana uchovu fulani na dalili ya uchovu ni umaliziaji mbovu. Kadi nyekundu ilikuwa ya halali kabisa na zilitakiwa zaidi ya mbili kwa Jkt walicheza kwa nguvu na ubabe mwingi faulo zilikuwa takriban 30. Mwamuzi mzuri alicheza vizuri japo alikuwa mwoga sana kuogopa maneno ya nje ya uwanja. Dk za nyongeza 7 zilitakiwa ziwe 9 Jkt walipoteza muda sana hili lilikuwa wazi. Simba amecheza chini ya kiwango wachezaji wengi walikuwa wamechoka na Jkt walikosa bahati ya kufunga mara mbili na walicheza mpira wa nguvu na kujihami ilibaki kidogo wapate pointi moja. Kwa ujumla ukiacha ushabiki mpira ulichezwa vizuri japo Simba inahitaji kujikakamua zaidi na sio jambo la mchezo kila masaa 48 kucheza. Ni hayo tu.
 
Kwa mazingira ya mchezo ziliongezwa kwaajili ya simba. Kumbuka JKT walikuwa pungufu, dakika zilizoongezwa hazilingani na zilizopotea, faulo wanapewa simba tu za JKt zinaminywa n.k
Katika mazingira hayo mlengwa alikuwa Simba na wamefanikiwa japo ina athari kubwa sana kwa soka la Tanzania.
mazingira gani..... yanga mtateseka sana aisee...
 
Maana ya kutosimamisha muda ndo zile dakika za nyongeza. Sasa kwa mtazamo wako unaona ni sahihi kuongeza dakika 7!? Unaamini dakika saba zilipotea katika mchezo!? Tuache mahaba. Mimi ni shabiki mzuri sana wa Simba lkn napinga vitendo hivi vya upangaji matokeo, tuache mpira uchezwe mshindi apatikake kwa juhudi na uwezo wake.
siku hizi kila shabiki wa ndala anajifanya simba kwanini hamtaki kujulikana ni ombaomba fc au mnalazishwa kuchangia!
 
Kweli mechi zetu zote za kimataifa tulizoshinda walikuwa wanaongeeza tu midakika
Mechi ya nkana waliongeza dk 30
Ya mbabane waliongeza 40
Ya soura walipngeza 200
Ya ahly waliongeza dk 500
Ya vita wakaongeza dk 1000
Ya mazembe walipunguza dk 50
hahaha...... aisee we jamaa !!!!
 
Hongera Simba Dakika ya 96 ndo anapata goli.Uku zikiongezwa 7.
Hongera sana Simba,Ijumaa tukutane MBEYA city.Kila la heri mnyama mla manyuklia.
 
Kucheza na Simba kwa sasa ni sawa na kugombea Jimbo ukiwa upinzani dhidi ya Sisiem!
Mbeleko mbeleko! Mpira haujasimama hata sekunde 30 dakika za nyongeza ni 7!!
Kama timu zina akili ziwaachie kombe lao tu
 
Back
Top Bottom