PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
kumbe hata huku upo!
big upNipo
Ayaaaaah,umekosea kuwaambia,wakijua hili hawatachukua kombe LA FA.Wameacha Fursa ya kucheza na Sevilla kwa kuhofia kucheza na SimbaNawachukue tu FA ili tukutane nao Ngao ya Jamii.
Yanga mnajitoa akili kwa kiwango hiki?oneni aibu basi,hivi kweli hamkuona mpira ukisimama mpaka kero,hamkuona wachezaji wa JKT wakijiangusha? by the way,dakika ziliongezwa kwa Simba pekee?Kucheza na Simba kwa sasa ni sawa na kugombea Jimbo ukiwa upinzani dhidi ya Sisiem!
Mbeleko mbeleko! Mpira haujasimama hata sekunde 30 dakika za nyongeza ni 7!!
Kama timu zina akili ziwaachie kombe lao tu
Huko mbali,Kagame Cup tupo nao kundi moja wapuuzi hawaNawachukue tu FA ili tukutane nao Ngao ya Jamii.
Wazungu wanaita Inferiority Complex.Kwa kiswahili labda unaweza kuita Mkanganyo wa Hisia za kuwa DHAIFU.Ukikaa na aliyekuzidi lazima ikusumbue.Unaweza kulalamika ushuzi wa tajiri unanukia pizza wa kwako unanukia maharage.Ndicho kinachowatokea YangaHivi kwanini Yanga wanapenda kulalalmika....?
Umeangalia mpira?au unabwabwaja tu?Kucheza na Simba kwa sasa ni sawa na kugombea Jimbo ukiwa upinzani dhidi ya Sisiem!
Mbeleko mbeleko! Mpira haujasimama hata sekunde 30 dakika za nyongeza ni 7!!
Kama timu zina akili ziwaachie kombe lao tu
Hawawezi kukuelewa hao tayari akili zao wamezitune Simba akishinda kabebwa.Yanga mnajitoa akili kwa kiwango hiki?oneni aibu basi,hivi kweli hamkuona mpira ukisimama mpaka kero,hamkuona wachezaji wa JKT wakijiangusha? by the way,dakika ziliongezwa kwa Simba pekee?
Msiwe na akili za kipunguani basi
Vipi jkt wangefunga dakika ya 96Kwahiyo unataka kusema: wachezaji wa JKt walipoteza dakika saba!!??? Acheni mahaba.
Hawa vyura ni NYANI na siku zote NYANI haoni................................
Huyo juha achana nae naona anaongea kama amekatwa shingo vile mpira haujui kabisa !!Vipi jkt wangefunga dakika ya 96
Wanaweza kugomaHuko mbali,Kagame Cup tupo nao kundi moja wapuuzi hawa
Ukweli hawa wachezaji wa Jkt na kipa wao walipoteza sana muda aisee...Tano wapi zilikuwa tatu