Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Kucheza na Simba kwa sasa ni sawa na kugombea Jimbo ukiwa upinzani dhidi ya Sisiem!
Mbeleko mbeleko! Mpira haujasimama hata sekunde 30 dakika za nyongeza ni 7!!
Kama timu zina akili ziwaachie kombe lao tu
Yanga mnajitoa akili kwa kiwango hiki?oneni aibu basi,hivi kweli hamkuona mpira ukisimama mpaka kero,hamkuona wachezaji wa JKT wakijiangusha? by the way,dakika ziliongezwa kwa Simba pekee?
Msiwe na akili za kipunguani basi
 
Hivi kwanini Yanga wanapenda kulalalmika....?
Wazungu wanaita Inferiority Complex.Kwa kiswahili labda unaweza kuita Mkanganyo wa Hisia za kuwa DHAIFU.Ukikaa na aliyekuzidi lazima ikusumbue.Unaweza kulalamika ushuzi wa tajiri unanukia pizza wa kwako unanukia maharage.Ndicho kinachowatokea Yanga
 
Yanga mnajitoa akili kwa kiwango hiki?oneni aibu basi,hivi kweli hamkuona mpira ukisimama mpaka kero,hamkuona wachezaji wa JKT wakijiangusha? by the way,dakika ziliongezwa kwa Simba pekee?
Msiwe na akili za kipunguani basi
Hawawezi kukuelewa hao tayari akili zao wamezitune Simba akishinda kabebwa.
 
58574677_2238878756199986_307851212688982016_o.jpg
 
Back
Top Bottom