Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
🙄 🙄 🙄 🙄Simba iliyoleweshwa na wakata miwa ya kagera sukari
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mishahara tutalipa...timu imetikisika sikatai ni upepo unapita tu..tutakaa sawaUshaishiwa Kwanzaa lipa mishahara hahahhaaa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]🙄 🙄 🙄 🙄
pumba imezidi mahindi uzitoAsante Kagera sugar kama Levante vile
Unawezaje kuwatenganisha ?Waliopanga njama za ushindi na wanadar es salàam wote umewaweka kundi moja
CCM, Simba & Yanga - haya yote nayaona ni makundi 3 ya wachawi wakuu nchi hii!Ukifuatilia game hii tangu maandalizi yake utagundua kwamba serikali ya Mkoa wa DSM ndio iliyokuwa inaanda mchezo huu , TFF walileta mpira wa kucheza labda na mwamuzi wa mchezo tu .
Bila kumung'unya maneno ni kama maandalizi ya mchezo yalilenga kuisafishia Simba njia ya Ushindi ( sifahamu sababu za njama hii ) , hata hivyo mambo yamekuwa tofauti na mipango iliyopangwa .
Hii ni kwamba haikufungwa Simba pekee , wengine waliofungwa ni wale walioandaa ushindi wa Simba kimazingira .
Mimi ni mwanayanga sikutaka simba ishinde na Niko dar es salaamUnawezaje kuwatenganisha ?
Mkubwa akipanga unachotakiwa ni kuunga mkono tu .Mimi ni mwanayanga sikutaka simba ishinde na Niko dar es salaam
We ulivunjwa au ulitobolewa ?Bikra inavunjwa au INATOBOLEWA?
Ni comment yako hii?Simba itafakari kuendelea kuwa na kocha mzungu. Djuma atosha
Leo tunalala mapema na mtaani pametuliaSimba anabaki kuwa ni bingwa, tena kombe kapewa na Rais
Simba imeshawahi kuchukua ubingwa bila kufungwa... ila huu mambo yamegoma
Vp yanga ana rekod ya bila kupoteza?
Hahaaa. Sitaki mie jamani. Lol
Haji hana akiba ya maneno. Ndo maana tundu limetobolewa.Hajar said:Huwa anaongea kwa kumaliza hajui kwamba hakuna anayeijua kesho.
Pole yake.