Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

Simba iliyoleweshwa na wakata miwa ya kagera sukari

[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
🙄 🙄 🙄 🙄
 
🙄 🙄 🙄 🙄
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Hivi una taarifa kuwa Ushindi wa Kagera sugar unaweza ukaendea nao benki kuomba mkopo??
 
Simba anabaki kuwa ni bingwa, tena kombe kapewa na Rais
 
Ukifuatilia game hii tangu maandalizi yake utagundua kwamba serikali ya Mkoa wa DSM ndio iliyokuwa inaanda mchezo huu , TFF walileta mpira wa kucheza labda na mwamuzi wa mchezo tu .

Bila kumung'unya maneno ni kama maandalizi ya mchezo yalilenga kuisafishia Simba njia ya Ushindi ( sifahamu sababu za njama hii ) , hata hivyo mambo yamekuwa tofauti na mipango iliyopangwa .

Hii ni kwamba haikufungwa Simba pekee , wengine waliofungwa ni wale walioandaa ushindi wa Simba kimazingira .
 
CCM, Simba & Yanga - haya yote nayaona ni makundi 3 ya wachawi wakuu nchi hii!
 
Wana Yanga leo tunacheka kihutu,

Natabiri kesho jumapili yule jini tumbuwa huenda akarudi upya na kutaka kujuwa ukweli wa yale makontena 20 ili amtumbuwe mtoto mpendwa kwa kumshawishi kwenda uwanjani kwa mara ya kwanza na kuaibishwa.
 
Back
Top Bottom