Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Mkubwa yupiMkubwa akipanga unachotakiwa ni kuunga mkono tu .
Manji harudi, alafu malinzi simtegemei awatoe hapa. Nyie kushinda sasa ni mpaka simba ifanye vibaya ila sio kuipiku kwa kiwango zaidi.Mishahara tutalipa...timu imetikisika sikatai ni upepo unapita tu..tutakaa sawa
Hahaaaa. Ndio hivyo mtani.Kweli mtani sikutegemea hili hahahahaha Hii ni Simba Bwana
Yanga ina hazina ya watu wenye weledi, timu anapewa Tarimba Abas muda si mrefu, sio nyie majanga akiondoka Mo maana mashabiki wenu ni kina bi Hindu na Msaga sumuManji harudi, alafu malinzi simtegemei awatoe hapa. Nyie kushinda sasa ni mpaka simba ifanye vibaya ila sio kuipiku kwa kiwango zaidi.
Hahaaaa. Haswaaaaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha mustarehe
Hahaaa. Sijui atajificha wapi.Haji hana akiba ya maneno. Ndo maana tundu limetobolewa.
na yanga mmechezea niniusijifanye hujui na wewe...Simba mmechezea kichapo cha mbwa koko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na nyie mnaendelea kuzalishwaHatimaye bikra leo imevunjwa !
Koh koh koh koh
Watani zangu aminas ,Ghazwat , Sesten Zakazaka , Barafu ya moto na King Ngwaba bila kumsahau Mshuza2 naombeni maji jamani lol.
Hahahaaa. Yetu yanajulikana hayo Mtani.[HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] Kule Kambarage Shinyanga, mpira umemalizika, na Yanga wanafungwa bao 1-0 na Mwadui FC, wakiwa wanapoteza mchezo wa tatu mfululizo.
Mwadui FC 1-0 Yanga SC
View attachment 781404
Hahahaaa. Mtani mbona ulichokuja nacho sio nilichokuitia lakini?.
Ila Mtani leo mmeisoma namba Wallah vile. Si ndio nyie mliosema hampotezi mechi nyieee. [emoji12][emoji12] amaaa?
Eti eeee. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ajali Kazini[/H]
Mnyama amekalia kitu chenye ncha kali.Kama isivyo iyondoa Yanga kwenye uteja...[emoji13] [emoji13] [emoji13] Yanga pombe ya ngomani tu kila mtu anajipimia
Kafanyiwa Shambulio la aibuMnyama amekalia kitu chenye ncha kali.