Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Hahahaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aliowashauri hawa sevilla washuke airport ya dar nani. Wangeshuka songwe kama mazembe. Mtawaonea huruma aisee
 
Wakuu naomba tuweke sawa, kuna wanaosema hiki kikosi cha Sevilla Ni kikosi C, wengine wanasema ni kikosi D,
Naomba kikosi A kuna kina nani?
Hivi Navas ni kikosi C? hata B hayupo ni A pure.

Hiyo ilikuwa 23/01/2019 copa del rey vs Barcelona
 
Gongo wazi watasema Sevilla wameuza mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…