Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

npo safaritv hapa naona wanyama tu hamna hata uchambuzi

Write your reply...
Namm naangalia hapa hakuna mchambuz ni kimya kimya ni kusikiliza kelele za mashabiki aisee sijui ndio style gan hii leo
 
Aisee, uchawi upo! King Messi mwenyewe hupata tabu kuwafunga Sevilla! Eti leo wanafungwa kirahisi na hawa wazee!
 
DAKIKA YA 80,
.
.
.
SIMBA 4-2 SEVILLA!

THIS IS SIMBA...YES WE CAN!
 
Tunawataka Atletco Madrid sasa!!
Baada ya hapo ni Real Madrid...waleeeeee Barcelona nao
Vipi Tp mazembe, Waydad Casablanca, Esperance de Tunis, na Mamelod Sundowns mmeshamalizana nao? Embu jitahidi mmalizane nao ili level za hao uliowataja mkakutane nao FIFA Club World Cup na sio humu kwenye mabonanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…