DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Ni kweli mkuu?La tano tayari
Maneno ya mkosajiFT:
SIMBA 4-5 SEVILLA
HATA HIVYO TUMEWAKOMESHAAAAAA!
Jirani ebu niache bwana ww sio mtu mzuri kabisaHahaha jirani nafikiria tu kwa mechi kama hzi zisizo na stress zinahitaji msaidizi...
Pata picha basi nyama choma lainiiiii na Heineken kadhaa baridiiiiii!!!!