Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

1105864

waoneeni huruma hawa wakata mauno na vigodoro.
 
Hahahahahahahaha hahahaha
Haahahaaahaaaahaaahhaaaa
Haahaahhaaaaa
 
Simba 4 Seville 5

kutangulia kwa baiskeli ya miti ndio kama hivi..
 
NAOMBENI NIFIKE NYUMBANI KWANZA[emoji23][emoji23][emoji23]mnaniruhusu!???? [emoji23][emoji23]
 
Hahaha jirani nafikiria tu kwa mechi kama hzi zisizo na stress zinahitaji msaidizi...

Pata picha basi nyama choma lainiiiii na Heineken kadhaa baridiiiiii!!!!
Jirani ebu niache bwana ww sio mtu mzuri kabisa
 
Back
Top Bottom