Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

yan Kocha ni Mxenge wa mwisho qhuma ma make..
Ela yangu yote imeenda Pumbavu sana, Mo fukuza huyo ..

Mkeka umeenda sio pole sana ndugu 🖐
Ila ulipaswa kutambua hii game ya sportpesa kurudisha hela mlizompiga msimu huu so sportpesa kafunga hesabu vizuri tena wale waliocheza inplay ndo wameliwa zaidi leo maana Simba alianza vizuri mkajua anashinda.
Hamsaaa 🖐
 
Ila naona kocha alikuwa anajaribu wachezaji wake ili kuona nan wanabaki, vinginevyo hii gemu tungeshinda. Hizo sub alizofanya nyingine sio kabisa
 
Japo ni mechi ya kirafiki ila inatia hasira kufungwa kizembe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kocha ni mseng£ huwezi ukatoa bunduki ukaweka rungu huku ukijua wazi vita yako unapambana na urusi
 
Ni upumbavu tu wa mtu mmoja ndo umetukosesha burudani, hamsa inauma sana
 
Simba kuna tatizo kubwa la beki. Nahili walifanyie kazi kwenye usajili hakuna beki kabisa.

pia kocha amechemsha kuwatoa wazoefu na kuwajaza wasio na uzoefu. Dk 5 goli 3 kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…