Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

yan Kocha ni Mxenge wa mwisho qhuma ma make..
Ela yangu yote imeenda Pumbavu sana, Mo fukuza huyo ..

Mkeka umeenda sio pole sana ndugu 🖐
Ila ulipaswa kutambua hii game ya sportpesa kurudisha hela mlizompiga msimu huu so sportpesa kafunga hesabu vizuri tena wale waliocheza inplay ndo wameliwa zaidi leo maana Simba alianza vizuri mkajua anashinda.
Hamsaaa 🖐
 
Japo ni mechi ya kirafiki ila inatia hasira kufungwa kizembe
Kocha katuua huwezi kujilinganisha na seville kwa kufanya sub za aina ile, timu ikapotea Salamba anakimbia tu hajui anapokwenda,

Mo Ibrahim hovyo marking ikawa poor ukiongeza na kuingia kwa Rashid juma kwenye nafasi ambayo siyake.

Hatukutakiwa kufungwa Auseems katopoteza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
54732339_288286785431835_7298223040035881792_n.jpg
 
Kocha ni mseng£ huwezi ukatoa bunduki ukaweka rungu huku ukijua wazi vita yako unapambana na urusi
 
Mkeka umeenda sio pole sana ndugu 🖐
Ila ulipaswa kutambua hii game ya sportpesa kurudisha hela mlizompiga msimu huu so sportpesa kafunga hesabu vizuri tena wale waliocheza inplay ndo wameliwa zaidi leo maana Simba alianza vizuri mkajua anashinda.
Hamsaaa 🖐
Ni upumbavu tu wa mtu mmoja ndo umetukosesha burudani, hamsa inauma sana
 
Simba kuna tatizo kubwa la beki. Nahili walifanyie kazi kwenye usajili hakuna beki kabisa.

pia kocha amechemsha kuwatoa wazoefu na kuwajaza wasio na uzoefu. Dk 5 goli 3 kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom