Oooh kumbe[emoji23][emoji23]Dakika ya 65,
Simba 4-2 Sevilla
Mpira wanaocheza Simba ni wa Ulaya kaaaaabisa, Sevilla walipofunga goli la pili ni kama kipofu ameuza redio na kununua TV maana Simba kaongeza LA NNE.
Simba hoyeeeeeeee!
Unayo bodaboda?
Ndio.. Ninazo 3
waambie mkuuVipi Tp mazembe, Waydad Casablanca, Esperance de Tunis, na Mamelod Sundowns mmeshamalizana nao? Embu jitahidi mmalizane nao ili level za hao uliowataja mkakutane nao FIFA Club World Cup na sio humu kwenye mabonanza
Jangwani mvua zikinyesha unavukaje
Pole jamaaTatizo mzigo ndugu, stake niliyoweka ndo inaniuma..
Haya majina ni nuksiHapo kwa Mkapa mikia huwa wanakaza sana
Mikia ndio nani wewe ajuza?Mikia mmepigwa khamsa kama kawaida yenu.
Nilisha sema mikia watafungwaFT Simba 4-5 Sevilla.
Wanaotoa povu hawajui maana ya friend matchHiv simba ingekua imeshinda....povu zote hiz zingetoka?
Asante bn..Pole jamaa
Heri yake Manula aliyefungwa goli moja tu!Sisi Simba tunayatambua matokeo ya kipindi cha kwanza tu 3-1 hayo mengine ya Kocha
MamboHahhahha acha basi jirani kunitamanisha